EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Anabwekea kwao[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anabwekea kwao[emoji28][emoji28]
Too sad you are too naive kufahamu propaganda za Magharibi.He need to be murdered Yaani my goodness ameogopa wamepiga bomu hospital ya watoto wenye cancer imagine that no he need to die
Wengi hawajui wanalishwa narrative na mtu mmojaToo sad you are too naive kufahamu propaganda za Magharibi.
Fucksake you must be kidding.Kwani Yeye ni nani asipigwe?. Ukraine wakimtanguliza MUNGU Putin atapigwa km mtoto mdogo niamini Mimi,Kwa MUNGU hakuna lisilowezekana.Kumbuka jinsi Goliath alivyomdharau Daudi lkn mwisho wa siku akapata kichapo kizito hadi akafa.
Ndio tabu ya kuchagua Rais mchekeshaji hadi maisha ya watu anachukulia utani.Hivi unafuatilia au una hadithiwa, maana mpaka leo mchana majeshi ya urusi yalikuwa yameuzingira mji mkuu wa kyiv. Taarifa iliyotoka muda si mrefu ni kuwa put putin anataka wanajeshi wa Ukraine wamuondoe raisi wao wenyewe na ndio maana Raisi wa Ukraine anasema target kubwa ni yeye pamoja na familia yake
Ni kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia). Kinachosababisha mpaka Sasa NATO washindwe Kuingia vitani kuisaidia Ukraine ni kwasababu Russia ana Nyuklia Waepons ambazo zikitumika Basi NO WINNER,All are LOSSERS.Jmaa umeandika kishabiki sana. Nimeona video huyo Zelensky analalamika kua ameachwa apigane vita mwenyewe. Yaan analia kam mtoto mdogo. US sio mtu yule kamuingiza kingi walidhani RUSSIA [emoji635] anatishia tu hawezi fsnya chochote.
Sasa Mkuu kama Rassia anaigopa US na NATO si zitie mguu pale Ukraine kuipiga Russia?Kama hiyo ndo sababu ya mgogoro, nimegundua kuwa ni Russia ndiye anayeiogopa NATO na USA na siyo kinyume chake.
Kama anajiamini kwanini atishwe na uwepo wa silaha za NATO na US pale Ukraine? Mbona Cuba ana missiles kali jirani na USA na bado wana co-exist kwa kuheshimiana? Mbona Israel imezungukwa na majirani watata wenye silaha (nyingi zinatoka Urusi) lakini haijasema waondoe silaha zao, zaidi ya kujibu tu pale inapochokozwa?
Urusi ndo waoga mbele ya NATO.
Ni kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia). Kinachosababisha mpaka Sasa NATO washindwe Kuingia vitani kuisaidia Ukraine ni kwasababu Russia ana Nyuklia Waepons ambazo zikitumika Basi NO WINNER,All are LOSSERS.Sasa Mkuu kama Rassia anaigopa US na NATO si zitie mguu pale Ukraine kuipiga Russia?
Mjinga mwenyewe ..Ukraine president yupo ukraine Putin Alitakiwa kuchukua nchi jana na yeye kuchukua nchi lazima rais wa ukraine a sigh papers peace treat .He won’t sigh he is ready to die for his country .You invade a country kama raisi hakimbii nchi na hasigh paper Putin hawezi kuipata ukraine .Soviet Union ilivyo collapse ukraine ikawa nchi na Russia walisigh papers kuwa ukraine sio Russia .He wants Soviet Union back Hii ni new generation hawatokubali .Putin amejiharibia sana sana kama Trump
Alivyokihadibia january 6 .Narcisstic tend to destroy themselves. HII ni kama ghafla Mexico unataka state of Texas .Texas was Mexico
Ukraine wanaomba po…. Mission accomplishedWamekufa wanajeshi 143 wa Ukraine mpaka Sasa. Vifaru 130 vya Urusi vimeharibiwa Sana na Mizinga ya STINGER ambayo Marekani alitoa msaada kwa Ukraine. Ndege 30 za Kivita za Urusi zimetunguliwa na Stinger Missile ambazo USA alitoa Kama msaada kwa Ukraine. Wanajeshi 50 wa Urusi washakufa. Majeruhi ni Unknown pande zote.
Mpaka Sasa Jeshi la Ukraine lilishawapa Siraha na Mabomu Raia Laki tatu na Nusu (350,000) ambao wamekwenda kufia Front line.
Mpaka Sasa,Jeshi la Ukraine halina Tena Air force( Jeshi la Anga) make limetekwa na Russia. Pia Jeshi la Maji la Ukraine Limetekwa. Miji 28 ya Ukraine imeshatekwa na viwanja 10 vya ndege vimeshatekwa.
HITIMISHO.
1.Hakuna uwezekano wa Ukraine kushinda Vita hivi kwasababu Majeshi ya Urusi yaliyoingia na Vifaru ndani ya Ukraine Jana TU yalikuwa Elfu 80. Leo Urusi imeongeza Wanajeshi Laki mbili na Nusu ndani ya Ukraine. Urusi ataibuka kidedea tu.
2. Lakini Ukraine ina Jeshi la ziada la Wanajeshi Milioni moja na wote wameanza kuchukua Siraha na kwenda Front line. Ushindi wa Urusi utakuja baada ya kuua watu zaidi ya Laki tano (500,000) ndani ya Ukraine.
Ndio maana Raisi Putin anajaribu kuwashawishi Wanajeshi wa Ukraine waretreat na kurudi majumbani ili kuepusha Vita virefu na vya Umwagaji damu mkubwa barani Ulaya tangu mwaka 1945.
Intelijensia ya Urusi inasema Marekani inatarget kumuua Rais wa Ukraine ili asifanye Negotiations za Urusi. Endapo hili litatokea Basi tutegemee Vita ambavyo havitakuwa na mwisho make Wanajeshi wa Ukraine watapigana tu bila kuwa na Directions. Pia kutatokea vikundi vingi ambavyo vitapigana mle ndani.
Ukraine ni Nchi kubwa kieneo,ni Kilometa za Mraba zaidi ya Laki sita. Hiyo ni zaidi ya ukubwa wa Kenya.
hakuna cha majadiliano, yeye aendelee kuua tu.
God bless Ukraine and it's people, the entire world has witnessed Russia's evil. only wicked and immorality folks are the ones who supporting Russia oppression.
supporting##@@@@@@ Ukraine from Dutwa Bariadi###@[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3526][emoji3526]
Mkuu wewe unaisemea UKRAINE ipi??President wa ukraine ni mfano wa kuigwa hajakimbia nchi na ukraine wana fight back .Putin alifikiri itakuwa kama Crimea .Putin will be a man with no country.Watu wana cell phone image zinatisha Putin this is not 1945 hitlers time
Ok! Kwa hiyo kelele zote za nchi za US na NATO kupiga kelele kwamba Ukraine akishambuliwa wataisaidia zilikuwa za bure?Ni kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia). Kinachosababisha mpaka Sasa NATO washindwe Kuingia vitani kuisaidia Ukraine ni kwasababu Russia ana Nyuklia Waepons ambazo zikitumika Basi NO WINNER,All are LOSSERS.
Urusi ina Makombora 7500 ya Nyuklia kwa takwimu za NIT. Makombora 2500 yako tayari kufyatuliwa kuelekea Endeo lolote Lile Duniani litakapotumwa. Marekani ina Miji mikubwa 358 na Majimbo 54. Kombora Moja linaugeuza mji kuwa Majivu kabisa. Kama Mrusi akituma Makombora yote 2500 kuelekea Marekani,Basi ndani ya dakika 30 hakutakuwa na USA Duniani.
Kwa Upande Mwingine,Marekani ina Makombora ya Nyuklia 6800. Kati ya hayo, 3500 yako tayari kufyatuliwa ndani ya Dakika 5 wakipokea Order na Direction ya kuyafurumusha. Urusi ina Miji mikubwa 43. Endapo USA akiona Russia kashatuma Makombora Yake kuelekea Marekani na hakuna jinsi Basi ndani ya Dakika 5, Makombora 3500 ya Marekani yatakuwa njiani kuelekea Urusi kuteketeza Miji 43,Ndani ya Nusu saa hakutakuwa na Urusi Tena. Hiyo inaitwa MUTUAL ASSURED DESTRUCTION(MAD).
Haya Sasa,Tuseme wewe ni Raisi wa Russia,utarusha hayo Makombora kuelekea Marekani au utafanya juhudi za majadiliano?
Mwishoni mwa Vita baridi kabisa (1988) Nchi za Marekani na Urusi Zilikuwa na Akiba ya Makombora 127,000 (Laki moja na elfu ishirini na Saba). Kati ya hayo, 58,000 ya Urusi na 69,000 ya USA. Embu fikilia. Kombora Moja linafuta mji mmoja wa Dar. Je,Dunia ina Miji 127,000? Jibu ni Hapana.
Kwahiyo ndugu yangu usiwe na tempa unapokuwa unachangia hizi maada,tumia Logic utaelewa tu.
Urusi na Marekani wanajuana,wakikutana Anga Furani Kila mmoja anaangalia Nani anamaslahi makubwa na anamwachia ili kuepusha Vita.
Georgia Mwaka 2008 Marekani hakuingiza mguu kusaidia Nchi hiyo dhidi ya Uvamizi wa Russia kwasababu Marekani anajua hapo Russia ana maslahi Makubwa.
Iraq mwaka 2003 Russia hakutia Mguu kwasababu Marekani alikuwa na Maslahi Makubwa.
Libya mwaka 2011 Russia hakutia Mguu kwasababu USA alikuwa na Maslahi Makubwa.
Venezuera Marekani aliogopa Msululu wa wakimbizi kumiminika nchini Marekani hata Kama angeliamua Vita Urusi angelipisha Coz pale ni Maslahi Makubwa ya kiusalama kwa USA.
Syria pale Wote Urusi na USA wanamaslahi na ndio maana mpaka Sasa wameigawana kijanja. Urusi inamhitaji Assad kwasababu Anamdai pesa ndefu. Marekani anahitaji Mafuta ndio maana mpaka leo Majeshi ya Marekani yapo Syria kulinda Visima vya Mafuta.
Kuhusu Ukraine,hata Marekani anajua kabisa Maslahi ya Urusi ni Makubwa kwahiyo lazima akae pembeni. Atashiriki tu kijanja lakini sio moja kwa moja.
Kuhusu NORTH KOREA,Yeye Ana Mabomu 10 TU ya Nyuklia kwahiyo hata akiacha atupe Mabomu yake Marekani atateketeza Miji 10 ya Marekani Kati ya 358. Kwa upande mwingine,NORTH KOREA ana miji 7 Mikubwa. Marekani akituma Makombora Yake ya Nyuklia 3500 nadhani unaona kabisa Makombora Mengine hayana pa Kupiga kabisa.
MTz 255Dar.
Labda uwe unatoka Kaskazini, Wasukuma wana maendeleo kuliko hicho kikabila chako kisichojulikana hapa East Africa.hujui historia n wala chanzo cha mzozo hukijui unaingilia na kuhukumu!!
jaman wasukuma akil zao!! Toka huko baeiad utoe ukungu
Tatzo Dunia Ina propaganda. ...na info's zot3 ni za upande mmoja....urusi anachafua Ile mbaya ..ila media zinachuja kupunguza atentionNdege 6 za kijeshi za Urusi Zimedunguliwa na Wanajeshi 50 wa Urusi wamekwenda na maji.View attachment 2130086
Niusome mara ngapi, nimeuliza na nauliza kwa nini Uingereza inatawaliwa na mtu mmoja tu.Kasome Utawala wa Uingereza kwanza, acha kujichoresha.
Angalau ungesema Mungu wa kinjekitile ngwale, Mungu wa Ng'wanamalundi, Mungu wa Malkia Nzinga , Mungu wa Wazanaki, Mulungu wa mizimu yetu huko kisiju pwani ikiombwa lazima itimizwe iwe mvua au njaa kuliko hiyo ya Wayaudi na Waarabu.MUNGU anayeishi milele, MUNGU wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo,Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.Kuhusu maafa kutokea duniani hiyo haiondoi ukweli kuwa MUNGU wetu yu hai na ana uwezo.Maafa yanatokea kwasababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni uovu wetu sisi binadamu,lkn pia Mungu Anataka kutupa onyo,au wakati mwingine Anataka tupitie njia ya mateso ili kifikia Uzima wa milele km ambavyo mwaae mpendwa Yesu Kristo alipitia, kufanya hivyo haimaanishi kuwa hatupendi bali anatupenda.
Kwa nini Jeshi la Poland lisiingilie Ukraine ili tuone nguvu ya NatoPutin should invade Poland and smell his ass. NATO troops are already stationed there. and Ukraine is massacred because she isn't a part of NATO .