Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

Kwani Yeye ni nani asipigwe?. Ukraine wakimtanguliza MUNGU Putin atapigwa km mtoto mdogo niamini Mimi,Kwa MUNGU hakuna lisilowezekana.Kumbuka jinsi Goliath alivyomdharau Daudi lkn mwisho wa siku akapata kichapo kizito hadi akafa.
Fucksake you must be kidding.
You are still living in imaginary horizons😂
Seriously, unaleta hizo ngano za kale kwenye mambo ya uhalisia karne hii.
 
Ndio tabu ya kuchagua Rais mchekeshaji hadi maisha ya watu anachukulia utani.
 
Jmaa umeandika kishabiki sana. Nimeona video huyo Zelensky analalamika kua ameachwa apigane vita mwenyewe. Yaan analia kam mtoto mdogo. US sio mtu yule kamuingiza kingi walidhani RUSSIA [emoji635] anatishia tu hawezi fsnya chochote.
Ni kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia). Kinachosababisha mpaka Sasa NATO washindwe Kuingia vitani kuisaidia Ukraine ni kwasababu Russia ana Nyuklia Waepons ambazo zikitumika Basi NO WINNER,All are LOSSERS.

Urusi ina Makombora 7500 ya Nyuklia kwa takwimu za NIT. Makombora 2500 yako tayari kufyatuliwa kuelekea Endeo lolote Lile Duniani litakapotumwa. Marekani ina Miji mikubwa 358 na Majimbo 54. Kombora Moja linaugeuza mji kuwa Majivu kabisa. Kama Mrusi akituma Makombora yote 2500 kuelekea Marekani,Basi ndani ya dakika 30 hakutakuwa na USA Duniani.

Kwa Upande Mwingine,Marekani ina Makombora ya Nyuklia 6800. Kati ya hayo, 3500 yako tayari kufyatuliwa ndani ya Dakika 5 wakipokea Order na Direction ya kuyafurumusha. Urusi ina Miji mikubwa 43. Endapo USA akiona Russia kashatuma Makombora Yake kuelekea Marekani na hakuna jinsi Basi ndani ya Dakika 5, Makombora 3500 ya Marekani yatakuwa njiani kuelekea Urusi kuteketeza Miji 43,Ndani ya Nusu saa hakutakuwa na Urusi Tena. Hiyo inaitwa MUTUAL ASSURED DESTRUCTION(MAD).

Haya Sasa,Tuseme wewe ni Raisi wa Russia,utarusha hayo Makombora kuelekea Marekani au utafanya juhudi za majadiliano?

Mwishoni mwa Vita baridi kabisa (1988) Nchi za Marekani na Urusi Zilikuwa na Akiba ya Makombora 127,000 (Laki moja na elfu ishirini na Saba). Kati ya hayo, 58,000 ya Urusi na 69,000 ya USA. Embu fikilia. Kombora Moja linafuta mji mmoja wa Dar. Je,Dunia ina Miji 127,000? Jibu ni Hapana.

Kwahiyo ndugu yangu usiwe na tempa unapokuwa unachangia hizi maada,tumia Logic utaelewa tu.

Urusi na Marekani wanajuana,wakikutana Anga Furani Kila mmoja anaangalia Nani anamaslahi makubwa na anamwachia ili kuepusha Vita.

Georgia Mwaka 2008 Marekani hakuingiza mguu kusaidia Nchi hiyo dhidi ya Uvamizi wa Russia kwasababu Marekani anajua hapo Russia ana maslahi Makubwa.

Iraq mwaka 2003 Russia hakutia Mguu kwasababu Marekani alikuwa na Maslahi Makubwa.

Libya mwaka 2011 Russia hakutia Mguu kwasababu USA alikuwa na Maslahi Makubwa.

Venezuera Marekani aliogopa Msululu wa wakimbizi kumiminika nchini Marekani hata Kama angeliamua Vita Urusi angelipisha Coz pale ni Maslahi Makubwa ya kiusalama kwa USA.

Syria pale Wote Urusi na USA wanamaslahi na ndio maana mpaka Sasa wameigawana kijanja. Urusi inamhitaji Assad kwasababu Anamdai pesa ndefu. Marekani anahitaji Mafuta ndio maana mpaka leo Majeshi ya Marekani yapo Syria kulinda Visima vya Mafuta.

Kuhusu Ukraine,hata Marekani anajua kabisa Maslahi ya Urusi ni Makubwa kwahiyo lazima akae pembeni. Atashiriki tu kijanja lakini sio moja kwa moja.

Kuhusu NORTH KOREA,Yeye Ana Mabomu 10 TU ya Nyuklia kwahiyo hata akiacha atupe Mabomu yake Marekani atateketeza Miji 10 ya Marekani Kati ya 358. Kwa upande mwingine,NORTH KOREA ana miji 7 Mikubwa. Marekani akituma Makombora Yake ya Nyuklia 3500 nadhani unaona kabisa Makombora Mengine hayana pa Kupiga kabisa.

MTz 255Dar.
 
Sasa Mkuu kama Rassia anaigopa US na NATO si zitie mguu pale Ukraine kuipiga Russia?
 
Bado unaonesha ujinga wako [emoji3]
 
Ukraine wanaomba po…. Mission accomplished

USA wanted to destroy Ukraine president, they have succeeded. Putin strategy has worked, kuanzia sasa hutasikia kwekwekweeee, wala kwikwikwiiii. Putin ataweka regime yake pale na tutarudi kwenye shida zetu za kila siku

The day watu wanapata akili stahiki vichwani mwao…. Wataichukia sana USA
 
hujui historia n wala chanzo cha mzozo hukijui unaingilia na kuhukumu!!
jaman wasukuma akil zao!! Toka huko baeiad utoe ukungu
 
President wa ukraine ni mfano wa kuigwa hajakimbia nchi na ukraine wana fight back .Putin alifikiri itakuwa kama Crimea .Putin will be a man with no country.Watu wana cell phone image zinatisha Putin this is not 1945 hitlers time
Mkuu wewe unaisemea UKRAINE ipi??
 
Ok! Kwa hiyo kelele zote za nchi za US na NATO kupiga kelele kwamba Ukraine akishambuliwa wataisaidia zilikuwa za bure?
 
hujui historia n wala chanzo cha mzozo hukijui unaingilia na kuhukumu!!
jaman wasukuma akil zao!! Toka huko baeiad utoe ukungu
Labda uwe unatoka Kaskazini, Wasukuma wana maendeleo kuliko hicho kikabila chako kisichojulikana hapa East Africa.
 
Kasome Utawala wa Uingereza kwanza, acha kujichoresha.
Niusome mara ngapi, nimeuliza na nauliza kwa nini Uingereza inatawaliwa na mtu mmoja tu.
Ambaye ndiye head of state kwa Uingereza, kanada, Australia na New Zealand.
Kuna tatizo gani la mtukukaa madarakani muda mrefu mfano kansela wa ujerumani anjela Merkel ametawala kwa zaidi ya miaka ishirini hakuna aliyesema ni tatizo.
Kwa Russia liwe tatizo
 
Angalau ungesema Mungu wa kinjekitile ngwale, Mungu wa Ng'wanamalundi, Mungu wa Malkia Nzinga , Mungu wa Wazanaki, Mulungu wa mizimu yetu huko kisiju pwani ikiombwa lazima itimizwe iwe mvua au njaa kuliko hiyo ya Wayaudi na Waarabu.

Watu wanakufa huko Ukraine, Yemen, Somalia na hakuna super being wowote anaowasaidia.

Inahitajika human action hasa upande wa Zelenski na Putin kumaliza hili tatizo
 
Tunafahamu na Tunalijua mother of all bombs(MOAB) alitumia Afghanistan na Bado wateleban wakachukua nchi.

Pia Kuna Father of all bomb(FOAB) sijui unaifahamu na Satan II
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…