Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

Fucksake you must be kidding.
You are still living in imaginary horizons[emoji23]
Seriously, unaleta hizo ngano za kale kwenye mambo ya uhalisia karne hii.
MUNGU habadliki Mkuu, Neno la MUNGU linaishi milele hakuna Cha hbr za kale.
 
President wa ukraine ni mfano wa kuigwa hajakimbia nchi na ukraine wana fight back .Putin alifikiri itakuwa kama Crimea .Putin will be a man with no country.Watu wana cell phone image zinatisha Putin this is not 1945 hitlers time
Hujui unachokiongea au unapotosha kwa makusudi!! Anayemtafuta mwenzake ni nani? Rais wa Ukraine mpaka amemtumia Rais Macron amfikishie salamu kuwa anataka maongezi na yuko tayari kuwa nchi neutral!! Kama anashinda vita kwa nini ndsni ya masaa 24 aamue kukubali kua hana na Nato? Unasikilizz propaganda za magharibi!!!
 
kaona km zinakaribia kaomba poh wakifika hapo kyiv angekimbia hamna USA wala ukwaju alitegemea watakuja hapo wanajeshi fasta fasta 137 washapotea miundombinu ishaharibika
 
Ukiachana na ile meli ya uturuki iliopigwa jana kwa kuzuia eti majeshi ya Urusi, leo meli ya Japan imepigwa kombora karibu na Black sea

2 more merchant ships hit by Russian attacks in Black Sea.

Japanese bulk carrier MV Namura Queen hit by a rocket at anchor off Yuzhne.

Moldovan chemical tanker MV Millennial Spirit hit and set on fire 12 miles to the south


Video: suvaribeyinnotdefteri https://t.co/p5BHZmUPIk
 
Ok! Kwa hiyo kelele zote za nchi za US na NATO kupiga kelele kwamba Ukraine akishambuliwa wataisaidia zilikuwa za bure?
Unless Kama wewe sio mfuatiliaji wa Mambo tangu mwanzo wa huu mzozo.

Mpaka Sasa Ukraine ilishapokea misaada ya Tani 120 za kijeshi kutoka NATO.

Tangu mwazo NATO ilishasema haitaingiza Majeshi yake ndani ya Ukraine kupigana na Urusi kwasababu Ukraine sio mwanachama wa NATO,pia hawana mikataba ya Ulinzi na Ukraine,Bali wataipa misaada ya Silaha na Intelijensia Kitu ambacho walishafanya.

Pia,Marekani na NATO walisema kabisa kwamba,Endapo Urusi itaivamia Ukraine Basi Itakutana na Vikwazo vikubwa vya Kiuchumi(Tayari limetekelezwa), Marekani na NATO wataongeza Wanajeshi wake katika nchi za Ulaya Mashariki wanachama wa NATO,Lithuania,Estonia, Poland na Latvia(Tayari Marekani alipeleka mwanzo Wanajeshi 3000 nchini Poland,na leo imepeleka Wanajeshi 7800 nchini Ujerumani. Pia Marekani alisema Endapo Urusi itaivamia kijeshi Ukraine,Basi Bomba la NORD STRING 2 linalotoa Gas nchini Urusi kwenda Ujerumani litafungwa( Na kweli mpaka Sasa Limefungwa kweli).


Kama sio Ushabiki wa Simba na Yanga,Leta Ushahidi ambao unaonesha kwamba Marekani na NATO walisema watapeleka Wanajeshi wao kupambana na Majeshi ya Urusi.

Ukiacha ushabiki ukafuatilia mwanzo wa huu mgogoro utajua kabisa kwamba Aliyeshindwa kujiongeza ni Raisi wa Ukraine make aliambiwa tangu mwanzo kabisa kwamba NATO haitapeleka Jeshi lake ndani ya Ukraine.
 
hujui historia n wala chanzo cha mzozo hukijui unaingilia na kuhukumu!!
jaman wasukuma akil zao!! Toka huko baeiad utoe ukungu
Ona huyu nae!!!.
NINA HAKIKA NJE NA MANENO HAYA :, {marekani anataka Ukraine ajiunge na nato ili amzunguke Urusi, urusi nae hataki ndiyo maana kaamua kumvamia ukrein ili amtoe rais wa ukrein ambae ni kibaraka wa Us na nato}.

YAAN NINA RUDIA TENA HUNA TAARIFA NYINGINE JUU YA UKRAINE NJE NA SENTENCE YA MANENO NILIYOYAANDIKA HAPO JUU AMBAYO KWANGU NI UWONGO TENA NI UWONGO UNAOKUBALIKA VICHWANI MWA WAPUUZI PEKEE.
MTU AKIKUAMSHA USIKU NA KUKUULIZA KUHUSU UKRAINE NA MGOGORO WAKE HUNA KINGINE CHA KUMJIBU NJE NA MANENO HAYO HAPO JUU.
IKIWA UNABISHA JARIBU HATA KUANDIKA JINA LA UKRAINE KWA UFASAHA NIONE.
 
JUST IN - German Defense Minister Lambrecht fears #Putin is no longer afraid of attacking NATO partners.

Lambrecht: "He is not predictable at all right now."
 
Uchambuzi kuntu huu!
 
Wataalamu wa uchambuzi wa vita hii mko vizuri,tumejua sababu za vita,na kiini chake kuwani 1990,Nawapongeza wote.
 
Kuna idadi ya mabomu na nguvu ya mabomu yenyewe, unaweza kuwa nayo machache ila yenye nguvu kubwa. Pia kwenye hoja yako hujagusia air defense systems za pande hizi mbili.
 
President wa ukraine ni mfano wa kuigwa hajakimbia nchi na ukraine wana fight back .Putin alifikiri itakuwa kama Crimea .Putin will be a man with no country.Watu wana cell phone image zinatisha Putin this is not 1945 hitlers time
Wanajeshi wa Russia
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…