Putin ashinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya: CEO wa kampuni ya mambo ya uchumi Ulaya asema Ulaya inaelekea kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi

Blaah blaa za mwehu mmoja huko kaamka na kuandika tu upuuzi wake.
Hao si ndo kina ulimwengu au mayalla wa huko.
Uchumi utaanguka anatabiri,haya nini kifanyike kuzuia hilo?
Hamna atakwambia anatabiri tu.
 
Europe Banks Prepare Backup Generators & Dimmed Lights

Major European banks are test-running how to cope amidst potential power shortages, with plans including diesel-power generators, squeezing office space, cutting hot water and turning off lights overnight.

JPMorgan has run power outage simulations already with generators that will offer a few days’ power amidst fears that ATMs and online transactions may be crippled, while Deutsche Bank has cut back energy usage in its 1,400 premises in Germany, even turning off the fountain at HQ.

Avi Schnurr, CEO of think-tank the Electric Infrastructure Security Council, still believes there is "a serious gap in resilience planning”.

Subscribe to RT
 
Wewe uko somewhere in Tanzania,the nits and grits za hali halisi ya Ulaya in terms of its' present economy and it's future economic outlook huijui,na hata utaalamu wa uchumi huna,unapata wapi ujasiri wa kusema kwamba Touman is wrong?Hiyo ni sawa na kujifukia kwenye mchanga on behalf of an Arabian Bedouin ukiwa upo Tanzania kwa tumaini kwamba Kimbunga cha mchanga kilichopo Riyadh hakita mdhuru!Isn't that lunatic?
 
Mamama twafaaa,hatujachelewa sana kuachana na siasa ya ujamaa na kujitegemea angalau teweza kulima na kujizalishia wenyewe vya ndani vyenginevyo
Hii nchi kurudi kwenye pure ujamaa haiwezekani.
 
Vita kwani imeisha.mbona bado inaendelea Jana limerushwa kombora la price cap
 
Tatizo sio hilo la kuacha kuagiza shida ni kwamba kupata mbadala kutosha ili uweze kurun maisha yako bila kuyumba ndio kinachowapata westen sasa ivi.

Hiyo ni gharama itakayolipwa ili kuhakikisha haki kwa Ukraine, haipaswi taifa liingie kijeshi kwa nchi jirani yake na kufanya mauaji na kuteka ardhi halafu dunia ikunje mkia tu, nafuu ya Putin anazo silaha za nyuklia, hivyo ni hatari kumshambulia moja kwa moja, hata hivyo ataminywa kiuchumi mpaka akome, huku akiendelea kuteswa na kainchi kaogo ka Ukraine.
 
Kwani we ulie Buza Kidato cha pili tu ulivuka
 
URUSI anateswa na ukrein? URUSI anapambana na wakoloni wote plus
 
Russia hali ni mbaya, amka
 
ulaya ; weka waz matatizo tuyatatue
Urusi + wajamaa ; ficha matatizo wasiyajue
 
Kwamba walipanga ? Au walimshaur Putin aivamie Ukraine ili wamkomoe ? Ndo unamaanisha hv au ulitaka wamuache aivamie ukraine na kuua raia wema
 
Lin umesikia serikali ya urusi ikisema mabaya yake au taarifa mbaya kuhusu uchumi wake ? Ulaya watu huru kusema lolote
 
Tatizo sio hilo la kuacha kuagiza shida ni kwamba kupata mbadala kutosha ili uweze kurun maisha yako bila kuyumba ndio kinachowapata westen sasa ivi.
Kwamba ww mtz ndo una akili kuwazid hao wazungu?
 
Ubepari haukuwa mfumo meant to be permanent mkuu,ulikuwa mfumo ya mpito towards total human enslavement and domination.Mfumo permanent wa Dunia utakuwa mfumo ambao China wanao,a system where humans are actually slaves.It is sort of Communism with a human face.The NWO ndio walio model China mkuu.Never think mfumo wa China ni in-house,it is not.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…