Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wakuu habari, Russia yupo na uwezekano mkubwa wa kuiangusha Serikali ya Ukraine, japo Ukraine anaonyesha ustahimilivu lakini hawezi kudumu milele.
Sasa tukiangalia kiini cha hii vita ni Serikali ya Ukraine kukataa ,matakwa ya Putin ambayo yangemfanya Putin kuwa na control na sera za Ukraine, ambayo ilikuwa karibu sana na maadui zake
So ili kutimiza malengo yake, Putin baada ya kushinda vita, itabidi aunde Serikali mpya Ukraine na kuweka majeshi yake kwa muda pale kusimamia stability na kuhakikisha kuwa Serikali hiyo haitaenda kinyume na matakwa ya Urusi. Na hapa ndio penye kazi haswa.
Marekani keshaangusha Serikali kadhaa na kuweka serikali zake lakini kuzi maintain inakuwa ni kazi sana, sababu ya upinzani wa ndani na gharama, na anapoondoka tu Serikali hupinduliwa au hugeuka na kurudi walipotoka, mfano wa karibu ni Afghanistan
Sasa kwa siasa zilivyo Ukraine ni kuwa wananchi wengi hawaitaki Urusi na pia nchi za Magharibi zimeielemea Urusi kwa mashinikizo makali, Je Urusi atafanyaje? Ni kama Putin kaanzisha vita kwa hasira, na hajui ataimalizaje au ana plan gani? Karibuni tuchangie