MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Mbona hujajibu swali la Mleta maada badala yake unaeleza sababu zilizoifanya Russia Kuivamia Ukraine ambazo bila Shaka Kila mmoja anazijua make Putin amekuwa akiziimba Kila Mara.Nikusaidie, let me be nice to a mentally challenged individual, embu elewa, kwanza nature of the conflict. Ni sphere of influence, a geographical location ambayo Russia haitaki military presense ya western countries i.e America and her allies NATO. Hiyo serikali iliyopo madarakani inataka kujiunga NATO maana yake ni kwamba, NATO itakua na pilika pilika jirani na Russia. Sasa lengo la Russia ni kuitoa hiyo serikali na kama hakutakua na vibaraka basi ni kuikalia kimabavu Ukraine mpaka hapo vibaraka watakapopatikana au watakapopata akili. UZI wako unaonesha hauna ulewa wa hili jambo na uwezo wako wa kuelewa ni mdogo.
Marekani japo ana uchumi Mkubwa,aliisimika Serikali kibaraka wake wa Afghanistan na kutoa mafunzo ya Kijeshi kwa miaka 20 lakini Alivyoondoa Majeshi yake tu Basi Serikali Kibaraka ya Afghanistan ilidondoshwa chini ya Wiki moja tu.
Sasa Mleta maada anauliza hivi?
Kama Urusi ataiangusha Serikali ya Ukraine na Kuweka Serikali Kibaraka wake,Hiyo Serikali itawezaje kudumu Madarakani ikiwa Raia walio wengi wa Ukraine wanapinga Uvamizi wa Urusi Plus Uchumi wa Urusi ambao unakwenda kuporomoka kwa vikwazo vilivyowekwa?
Tatizo wengi mnajibu kishabiki TU. Mtu akisema against your Wishes mnaanza kutukana badala ya kutoa Facts,na hii ni asili ya Ngozi nyeusi(Cancer ya vizazi vya Ngozi nyeusi Milele). Mnaishia kusema TU eti Putin anajua na hajakurupuka,mkiulizwa anaweza kufanya Nini Kuisimika hiyo Serikali yake Kibaraka mnashusha matusi.
MAONI YANGU.
Russia ananjia Nyingi ambazo anaweza kusimika utawala pale Ukraine hata Kama Raia wa Ukraine hawatapenda lakini watalazimika kupenda. Njia moja ambayo naona ataitumia ni hii hapa.
Kuliacha Jeshi la Urusi ndani ya Ukraine na Kulinda Usalama hata kwa miaka 5 mpaka pale ambapo Jeshi Kibaraka la Ukraine litakapopatikana ili kuilinda Serikali hiyo ya Kibaraka wa Russia. Hapo ndipo Russia inaweza kuondoa Wanajeshi wake. Hii njia ni raihisi kwa Urusi kwasababu inapakana na Ukraine. Endapo Zisingelikuwa zinapakana Basi ni wazi hata Uvamizi Urusi ingelishindwa vibaya Sana. Kupeleka Wanajeshi 200,000 umbali wa 6,800Km Kama alivyofanya Marekani kule Iraq ni Gharama kubwa kitu ambacho Urusi asingeliweza kutokana na MATOKEO ya vikwazo hivi hapo baadae.*
Nchi Nyingi za Africa kunaserikali Nyingi ambazo haziungwi mkono na Raia lakini maisha yanakwenda make Jeshi Liko upande wa Utawala. Hata ukiangalia BELARUS Raia wengi hawaitaki Serikali ya Lukashenko,na walipojaribu kuandamana,Urusi ilituma Wanajeshi kwenda kuzima maandamano.
MTz 255Dar.