hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Sasa Kama Russia ndiye atakaye umia peke yake kiuchumi kwanini kila siku kukicha wanapiga simu cremlin kwa bwana Putin na kumuomba asitishe Vita !? Wanaogopa Nini !? Wakati wanasilaha ya vikwazo dhidi ya Russia , kwanini wasiendelee kuweka vikwazo tu bila kumfuata mrusi na kumuomba Vita iiishe !?Mkiambiwa Dictators sio wazuri muwe mnaelewa. Russian federation watapata tabi sana na hii vita italitesa hilo taifa kiasi watachapana wenyewe kwa wenyewe nakugawana vipande. Hakuna nchi ulaya inafurahia kile kinaendelea Ukraine na kwa taarifa za siri idara za usalama zinajuwa why Russian wameanza hii vita na ili kumuonyesha ni mpumbavu wamesema hawatoenda kuipigania Ukraine ila putin will pay high price... Kiufupi Putin watamuondoa na kwa data zipo kufika July2022 Russian watakuwa na hali mbaya ya uchumi..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]