Kwani kabla ya vita mbona walikuwa bado hawajajiunga nato ?Kumbe haujamwelewa Putin? Ni hivi, anazuia hiyo seikali isijiunge na NATO
Mbona walikuwa hawajajiunga hata kabbla ya hii vita ?Anachokipinga ni Ukraine kujiunga na EU na hatimaye NATO
Alitaka kuhakikishiwa na NATO wenyewe kuwa Ukraine haitakaa iwe mwanachama wao, wakakata kumpa hiyo guaranteeKwani kabla ya vita mbona walikuwa bado hawajajiunga nato ?
Kama hawakujiunga hata kabla ya vita kulikuwa na haja gani ya kuanzisha vita ?
Sasa. Kumbuka NATO inaichukulia Urusi kama adui yake ndiyo maana Urusi alipoomba kujiunga nao walimkatalia
Kwa nini asimpige nato moja kwa moja ambae hataki kutoa guarantee ?Alitaka kuhakikishiwa na NATO wenyewe kuwa Ukraine haitakaa iwe mwanachama wao, wakakata kumpa hiyo guarantee
Mkuu mimi namwona Putin kama mtu ambaye anajiona yeye ni zaidi ya wengine, yeye anajua na ana uelewa mkubwa, anaona bila yeye bara la Asia na Asia ya Mbali itahodhiwa na Ulaya au Amerika. Yeye aliomba kujiunga na NATO, Ukraine hakupinga wala kulalamika. Leo Ukraine anaomba kujiunga na NATO imekuwa nongwa kwake na vita juu.Putin hataki kuitawala Ukraine. Anachokipinga ni Ukraine kujiunga na EU na hatimaye NATO.
Hii ni kwasababu Ukraine ni nchi ya kimkakati kwa Urusi hususani kiusalama na pia kibiashara hivyo NATO ikiweka silaha zake Ukraine, usalama wa Urusi unakuwa mashakani. Kumbuka NATO inaichukulia Urusi kama adui yake ndiyo maana Urusi alipoomba kujiunga nao walimkatalia.
So Putin anataka Ukraine ibaki nchi huru isiyopokea maelekezo kutoka NATO au EU.
ingekuwa kazi kubwa zaidi. Ukraine alikuwa kapewa sharti la kuweka kwenye serikali yake watu watakaohakikisha hajiungi NATO, akakataa piaSasa
Kwa nini asimpige nato moja kwa moja ambae hataki kutoa guarantee ?
slow learner hapa nadhani ni wewe maana majibu unayonipa nishayaeleza kwenye uzi wangu, pengine umejibu bila kusomaUliwapa shida sana walimu, very slow learner. Hopefully umeelewa
Basi yeye ndo alitakiwa ampige adui yake NATO,kama ni ngumu basi akaona ampoge ukraine huo ni uonevu.ingekuwa kazi kubwa zaidi. Ukraine alikuwa kapewa sharti la kuweka kwenye serikali yake watu watakaohakikisha hajiungi NATO, akakataa pia
Mkuu mimi namwona Putin kama mtu ambaye anajiona yeye ni zaidi ya wengine, yeye anajua na ana uelewa mkubwa, anaona bila yeye bara la Asia na Asia ya Mbali itahodhiwa na Ulaya au Amerika. Yeye aliomba kujiunga na NATO, Ukraine hakupinga wala kulalamika. Leo Ukraine anaomba kujiunga na NATO imekuwa nongwa kwake na vita juu.
NATO walimkataa kujiunga nao kwa sababu wanajua nia na matamanio yake: > apate nguvu za kuzinyanyasa nchi ambazo zilikuwa majimbo USSR. > apate mwanya wa kujua nini kipo ndani ya NATO na hatimaye kuisambaratisha. > Apate mwanya wa ushawishi wa yeye kuwa RAIS wa Urusi wa kudumu kwa mbinu yake ya kujiongezea muda wa kukaa madarakani Rais ama kuwa Waziri Mkuu. Hii vita itamgharimu sana.
Mkuu mimi namwona Putin kama mtu ambaye anajiona yeye ni zaidi ya wengine, yeye anajua na ana uelewa mkubwa, anaona bila yeye bara la Asia na Asia ya Mbali itahodhiwa na Ulaya au Amerika. Yeye aliomba kujiunga na NATO, Ukraine hakupinga wala kulalamika. Leo Ukraine anaomba kujiunga na NATO imekuwa nongwa kwake na vita juu.
NATO walimkataa kujiunga nao kwa sababu wanajua nia na matamanio yake: > apate nguvu za kuzinyanyasa nchi ambazo zilikuwa majimbo USSR. > apate mwanya wa kujua nini kipo ndani ya NATO na hatimaye kuisambaratisha. > Apate mwanya wa ushawishi wa yeye kuwa RAIS wa Urusi wa kudumu kwa mbinu yake ya kujiongezea muda wa kukaa madarakani Rais ama kuwa Waziri Mkuu. Hii vita itamgharimu sana.
Umbumbumbu wake ni upi!? Hebu elezea.Siku hizi JF inapoteza hadhi yake. Mbumbumbu kama huyu naye karuhusiwa kuwa na account!? Nawashauri mods. Kwa sasa mtu akitaka kujiunga JF alete barua ya maombi toka serikali za mitaa.
Mkuu nimemsikiliza na nimemuelewa. Kwa ufupi ni kama nilivyo elezea nadhani jana: Kwamba Urusi anajaribu kwa kila hali kuona USSR ina rudi (na Ukraine ni USSR) kama zamani ikiwa na nguvu za kijeshi na za kiuchumi na ikiwezekana kuzipata nchi ndogondogo za Ulaya zilizopo mashariki (zinazo pakana na Urusi). Aidha Ulaya (NATO) hapendi kuona ndoto za Urusi zikotia. Lengo la NATO ni kuhakikisha njia zote za kijeshi na kiuchumi zinaratibiwa nao hapo Ulaya na Asia. Tatizo lingine, NATO wamuona Putin kama mlevi wa madaraka na hivyo mtu hatari kwa ustawi wa Ulaya.Nakuomba kama una data na muda spare time to build a deeper understanding of the underlying problem through this.
Perhaps this might help a bit.
Mimi niliyekuzidi IQWewe ni nani wa kuja kuhoji watu wenye IQ ya juu kama mimi!?
Nchi nyingi zilizokuwepo USSR tayari zipo NATO, na kuna nchi zinataka kujiunga na NATO baada ya Urusi kuvamia Ukraine, naona kama ana task ngumu sana..Maana kuunda empirte kama ya USSR anatakiwa awe na ushaiwshi wa kisiasa na nguvu za kijeshiMkuu nimemsikiliza na nimemuelewa. Kwa ufupi ni kama nilivyo elezea nadhani jana: Kwamba Urusi anajaribu kwa kila hali kuona USSR ina rudi (na Ukraine ni USSR) kama zamani ikiwa na nguvu za kijeshi na za kiuchumi na ikiwezekana kuzipata nchi ndogondogo za Ulaya zilizopo mashariki (zinazo pakana na Urusi). Aidha Ulaya (NATO) hapendi kuona ndoto za Urusi zikotia. Lengo la NATO ni kuhakikisha njia zote za kijeshi na kiuchumi zinaratibiwa nao hapo Ulaya na Asia. Tatizo lingine, NATO wamuona Putin kama mlevi wa madaraka na hivyo mtu hatari kwa ustawi wa Ulaya.
kumbeee..na hiyo mipango ni ipi sasa maana ndio swali langu nimeulizawewe ni mpumbavu kweli kweli unadhani Putin amekurupuka tu... kwamba wewe una akili kuliko yeye !!!!...mpango umeratibiwa zaidi ya miaka saba nyuma kwamba itakuwaje wewe leo ndio unakurupuka!!!!..yote hayo ya vikwazo unavyoviona wenzio walishayajadili miaka saba iliyopita na wakajiridhisha kuwa sasa wanaweza kuanza oparation baada ya ramani nzima kukamilika
Nikusaidie, let me be nice to a mentally challenged individual, embu elewa, kwanza nature of the conflict. Ni sphere of influence, a geographical location ambayo Russia haitaki military presense ya western countries i.e America and her allies NATO. Hiyo serikali iliyopo madarakani inataka kujiunga NATO maana yake ni kwamba, NATO itakua na pilika pilika jirani na Russia. Sasa lengo la Russia ni kuitoa hiyo serikali na kama hakutakua na vibaraka basi ni kuikalia kimabavu Ukraine mpaka hapo vibaraka watakapopatikana au watakapopata akili. UZI wako unaonesha hauna ulewa wa hili jambo na uwezo wako wa kuelewa ni mdogo.slow learner hapa nadhani ni wewe maana majibu unayonipa nishayaeleza kwenye uzi wangu, pengine umejibu bila kusoma
Swali ni ataweza vipi kuweka serikali kibaraka kwa political resistance iliyopo Ukraine na pressure za West?
Siku hizi JF inapoteza hadhi yake. Mbumbumbu kama huyu naye karuhusiwa kuwa na account!? Nawashauri mods. Kwa sasa mtu akitaka kujiunga JF alete barua ya maombi toka serikali za mitaa.