Putin atafanya nini baada ya kuiangusha Serikali ya Ukraine? Au alikurupuka kwa hasira?

Sasa Kama Russia ndiye atakaye umia peke yake kiuchumi kwanini kila siku kukicha wanapiga simu cremlin kwa bwana Putin na kumuomba asitishe Vita !? Wanaogopa Nini !? Wakati wanasilaha ya vikwazo dhidi ya Russia , kwanini wasiendelee kuweka vikwazo tu bila kumfuata mrusi na kumuomba Vita iiishe !?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]namna hiyo
 
Yaani kaeni mkijua endapo Russia akimaliza salama hii operation yake huko Ukraine Basi itatokea kuwa taifa linalo ogopwa mnooo yaani ile hofu ya kuogopwa kwa Russia ita upgrade Mara 5, na hapo ndio Russia itakuwa umezidi kujiweka katk mazingira chanya ya kuuza silaha zake na kuongeza ushawishi ktk medani za kisiasa na kijeshi ,

Yaaani Kazi mnayo Sana [emoji16][emoji16]
 
Wasoviet hawataki kitu ila wataiacha Ukraine kama Libya
 
vp ule mwezi machi c ndio huu unaelekea ukingoni ama tungojee mwezi machi wa mwakani?
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
taarifa za siri unazijua wewe Tumaini halaf FSB hawazijui
maajabu haya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
PUTIN sio KAGAME
 
Siku hizi JF inapoteza hadhi yake. Mbumbumbu kama huyu naye karuhusiwa kuwa na account!? Nawashauri mods. Kwa sasa mtu akitaka kujiunga JF alete barua ya maombi toka serikali za mitaa.
Nasisi sote tupokonywe uanachama ili tuombe upya kwa utaratibu mpya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…