Putin atahadharisha ataingamiza NATO kwa WWIII au Nyuklia

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
BREAKING NEWS

Putin amesema NATO inafanya makosa makubwa kushambulia ndani ya Russia, Jibu la Russia itakua na sehemu mbili kuanzisha Vita vya tatu vya Dunia na kuiangamiza NATO au kuwatwanga Nyuklia.

NATO is making big mistake to strike inside Russia, we will destroy NATO either by fighting world war III or by nuclear weapons.

 
NATO ameshafunga mifumo ya kuzuia makombora pale poland ,NATO sio wajinga kama Putin anavyodhania hawezi kushambulia ndani ya Russia huku wakijua hawana kinga .

Hao NATO nao wanazo Nukra za kutosha putin ajue hata yeye mauaji yanamuhusu alishambulia naye anashambuliwa.asiwe mjinga mjinga

USSR
 
Duh kuna watu wanajua habari humu
 
⚠️BREAKING NEWS⚠️

Putin:

If Ukraine joins NATO , we will not wait a second to remove Ukraine and NATO from the map of the world.

Russia and china started preparing their armies to combat NATO. China supports Russia against Ukraine and West.
 

Attachments

  • IMG_20240712_092442.jpg
    32.4 KB · Views: 3
Shida ya Putin ndo hiyo , akipiga nyuklia na yeye ameisha. Warusi wako tayari wateketee kisa wanataka mikoa 4 ya Ukraine? Hiyo ni sababu ndogo ya kusababisha vita ya 3 ya dunia. Pia siku nyingine atavamia nchi yoyote jirani halafu atishie nyuklia. USA, UK, France, wana nyukilia. Huwezi tishia nyuklia na wakati na wao wanazo nyuklia, anaona wazungu wa NATO ni waoga wa vita ndo maana anajaribu kutishia, mwenzake China hawezi kujiingiza kwenye vita vya nyuklia. Uzuri vita vya nyuklia havina mshindi atalipwa na wao watalipua, makombora yatakuwa yanapishana angani na baharini. Mwenye air defence system nzuri ndo atapona.Ila kuna uwezekano mkubwa wa Rusia kuwahi kuteketea kabla ya nchi zote za NATO, Africa tujiandae kupokea wakimbizi toka Rusia na Nchi za NATO
 
Si mara ya kwanza kusema hivyo.
Kwamba hataki kupigwa ndani ndani si ndiyo?, ila yeye pekee ndo apige popote atakapo.
 
Russia ni mbabe, mgonvi, arrogant, na asiye weza kukaa vizuri na majirani zake kwa njia za ushawishi. Anataka wafanye yeye atakavyo kwa lazima. Karibu a kila jirani yake amegombana naye.
- recklessness ya waafrica itaiingiza vitan kwa kujuwa ama kutokujuwa. Huyo anayeonwa kama mkimbizi atadictate kila kitu hata akiwa ndani ya Africa
 
Debe tupu haliachi kutika.

Mtu anaejiamini huwa hapotezi muda kupiga mikwara.
 
Mifumo ya NATO ndio hii inayobondwa kila siku huko Ukraine na Israel...Kinzal na Hypersonic haizuiliki na Mfumo wowote ulinzi uliopo kwasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…