Putin atahadharisha ataingamiza NATO kwa WWIII au Nyuklia

NATO ameshafunga mifumo ya kuzuia makombora pale poland ,NATO sio wajinga kama Putin anavyodhania hawezi kushambulia ndani ya Russia huku wakijua hawana kinga .

Hao NATO nao wanazo Nukra za kutosha putin ajue hata yeye mauaji yanamuhusu alishambulia naye anashambuliwa.asiwe mjinga mjinga

USSR
It appears you have lost sanity
 
BREAKING NEWS

Putin amesema NATO inafanya makosa makubwa kushambulia ndani ya Russia, Jibu la Russia itakua na sehemu mbili kuanzisha Vita vya tatu vya Dunia na kuiangamiza NATO au kuwatwanga Nyuklia.

NATO is making big mistake to strike inside Russia, we will destroy NATO either by fighting world war III or by nuclear weapons.

View attachment 3040010View attachment 3040011
Hizi ni nyimbo tu alikuwa anaimba toka sikua ya kwanza avamie ukraine sasa ata hasikilizwi tena anakula shaba tu na hizi F-16 ndio zinazomtia kiwewe
 
Putin yuko sahihi! Kupiga ndani ya Russia maana yake ni kuivamia! Lazima Russia itajibu.
Nchi za Ulaya ndizo ziko kwenye risk kuliko US.
US anazitumia kama ngao kupambana na Russia.
Kwani aneipiga ndani ya Russia ni Nato au Ukraine?
Lakni yeye aneipiga Ukraine na kuharibu kila aina ya miundo mbinu yeye asipigwe kwake pale inapowekezekana?
 
NATO ameshafunga mifumo ya kuzuia makombora pale poland ,NATO sio wajinga kama Putin anavyodhania hawezi kushambulia ndani ya Russia huku wakijua hawana kinga .

Hao NATO nao wanazo Nukra za kutosha putin ajue hata yeye mauaji yanamuhusu alishambulia naye anashambuliwa.asiwe mjinga mjinga

USSR
Putin anatoa maonyo mengi kwa sababu siku atakayo chukua hatua dhidi ya NATO kutakuwa vilio na kusaga meno kwa NATO...Hivyo maonyo mengi anayo toa kwa nato ni kunawa mikono kwao juu ya damu itakayo mwagika vibaya kwenye hizo nchi.
 
Putin yuko sahihi! Kupiga ndani ya Russia maana yake ni kuivamia! Lazima Russia itajibu.
Nchi za Ulaya ndizo ziko kwenye risk kuliko US.
US anazitumia kama ngao kupambana na Russia.
Thubutu USA NDIYO YUPO KWENYE RISK KUBWA ...kipigo kibaya kuliko vyote kitatua marekani ...pitia vita vya 2 vya dunia kuhusu urusi dhidi ya Germany na japani ....siku zote mrusi upiga kichwa cha JOKA SIYO MKIA
 
Watu weshabishana sana kuhusu haya mambo hakuna jipya na hakuna anayejua lolote mpaka litakapotokea na huenda likitokea hapatakuwa na internet ya kumdiscuss mshindi.
 
NATO ameshafunga mifumo ya kuzuia makombora pale poland ,NATO sio wajinga kama Putin anavyodhania hawezi kushambulia ndani ya Russia huku wakijua hawana kinga .

Hao NATO nao wanazo Nukra za kutosha putin ajue hata yeye mauaji yanamuhusu alishambulia naye anashambuliwa.asiwe mjinga mjinga

USSR
Unadhani kuna anayeshinda Nuclear War ?

Ukiwa nayo ni detterrent ndio maana mpaka leo North Korea hawezi kuguswa na Gaddafi angekuwa nazo angekuwepo mpaka leo au Iraq angezimalizia leo angekuwa anaongea mambo nyingine..., NATO waache upuuzi, Unadhani Russia akipelekea mitambo yake ya Makombora Cuba USA watakaa kimya....

Fuatilia Cuban Missile Crisis
 
Back
Top Bottom