green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
- Thread starter
-
- #21
We ndio unaakili kuliko Mr PutinPutin hanaga akil hususan kwenye uringo wa kijeshi! Abaki tu kwenye uchum.
It appears you have lost sanityNATO ameshafunga mifumo ya kuzuia makombora pale poland ,NATO sio wajinga kama Putin anavyodhania hawezi kushambulia ndani ya Russia huku wakijua hawana kinga .
Hao NATO nao wanazo Nukra za kutosha putin ajue hata yeye mauaji yanamuhusu alishambulia naye anashambuliwa.asiwe mjinga mjinga
USSR
Hizi ni nyimbo tu alikuwa anaimba toka sikua ya kwanza avamie ukraine sasa ata hasikilizwi tena anakula shaba tu na hizi F-16 ndio zinazomtia kiweweBREAKING NEWS
Putin amesema NATO inafanya makosa makubwa kushambulia ndani ya Russia, Jibu la Russia itakua na sehemu mbili kuanzisha Vita vya tatu vya Dunia na kuiangamiza NATO au kuwatwanga Nyuklia.
NATO is making big mistake to strike inside Russia, we will destroy NATO either by fighting world war III or by nuclear weapons.
View attachment 3040010View attachment 3040011
Mlisema hivyohivy kwa silaha zingine lakini hazikusaidia kitu.Hizi ni nyimbo tu alikuwa anaimba toka sikua ya kwanza avamie ukraine sasa ata hasikilizwi tena anakula shaba tu na hizi F-16 ndio zinazomtia kiwewe
Ndo hivyo ww kiazWe ndio unaakili kuliko Mr Putin
Kwani aneipiga ndani ya Russia ni Nato au Ukraine?Putin yuko sahihi! Kupiga ndani ya Russia maana yake ni kuivamia! Lazima Russia itajibu.
Nchi za Ulaya ndizo ziko kwenye risk kuliko US.
US anazitumia kama ngao kupambana na Russia.
BREAKING NEWS
Putin amesema NATO inafanya makosa makubwa kushambulia ndani ya Russia, Jibu la Russia itakua na sehemu mbili kuanzisha Vita vya tatu vya Dunia na kuiangamiza NATO au kuwatwanga Nyuklia.
NATO is making big mistake to strike inside Russia, we will destroy NATO either by fighting world war III or by nuclear weapons.
View attachment 3040010View attachment 3040011
Kwahiyo sisi tufanyeje?.⚠️BREAKING NEWS⚠️
Putin:
West is triggering the world war III by supporting Ukraine with NATO.
Russia is ready to beat all involved countries in war .
Toka vita yake na Ukraine ianze hii mikwara mbona huwa anairudia rudia huyu jamaa? Analia lia tuPutin:
If Ukraine joins NATO , we will not wait a second to remove Ukraine and NATO from the map of the world.
Putin anatoa maonyo mengi kwa sababu siku atakayo chukua hatua dhidi ya NATO kutakuwa vilio na kusaga meno kwa NATO...Hivyo maonyo mengi anayo toa kwa nato ni kunawa mikono kwao juu ya damu itakayo mwagika vibaya kwenye hizo nchi.NATO ameshafunga mifumo ya kuzuia makombora pale poland ,NATO sio wajinga kama Putin anavyodhania hawezi kushambulia ndani ya Russia huku wakijua hawana kinga .
Hao NATO nao wanazo Nukra za kutosha putin ajue hata yeye mauaji yanamuhusu alishambulia naye anashambuliwa.asiwe mjinga mjinga
USSR
Thubutu USA NDIYO YUPO KWENYE RISK KUBWA ...kipigo kibaya kuliko vyote kitatua marekani ...pitia vita vya 2 vya dunia kuhusu urusi dhidi ya Germany na japani ....siku zote mrusi upiga kichwa cha JOKA SIYO MKIAPutin yuko sahihi! Kupiga ndani ya Russia maana yake ni kuivamia! Lazima Russia itajibu.
Nchi za Ulaya ndizo ziko kwenye risk kuliko US.
US anazitumia kama ngao kupambana na Russia.
Watu weshabishana sana kuhusu haya mambo hakuna jipya na hakuna anayejua lolote mpaka litakapotokea na huenda likitokea hapatakuwa na internet ya kumdiscuss mshindi.Thubutu USA NDIYO YUPO KWENYE RISK KUBWA ...kipigo kibaya kuliko vyote kitatua marekani ...pitia vita vya 2 vya dunia kuhusu urusi dhidi ya Germany na japani ....siku zote mrusi upiga kichwa cha JOKA SIYO MKIA
Unadhani kuna anayeshinda Nuclear War ?NATO ameshafunga mifumo ya kuzuia makombora pale poland ,NATO sio wajinga kama Putin anavyodhania hawezi kushambulia ndani ya Russia huku wakijua hawana kinga .
Hao NATO nao wanazo Nukra za kutosha putin ajue hata yeye mauaji yanamuhusu alishambulia naye anashambuliwa.asiwe mjinga mjinga
USSR