Putin Atangaza Kusitishwa Kwa Vita Vya Urusi Na Ukraine Kwa Masaa 36

Putin Atangaza Kusitishwa Kwa Vita Vya Urusi Na Ukraine Kwa Masaa 36

Kazidiwa huyo. Hiyo sababu alioitoa ni chaka la kujifichia. Huwezi kuua watu hovyo halafu uwe na hofu ya kweli ya kwenda kinyume na mambo ya kiroho/kidini.

Na kwa nchi isiyo na demokrasia kama Russia, Watawala huwa hawana hofu ya kufanya mambo yanayogusa imani za watu za kidini kwani hawana hofu ya kukataliwa kupitia sanduku la kura.

Putin anatafuta kupumua japo kwa muda wala sio kutaka kuwe na Chiristmas truce kipindi hiki hata kama ni pendekezo la kiongozio wa kanisa la Orthodox huko Ruusia.
 
Kazidiwa huyo. Hiyo sababu alioitoa ni chaka la kujifichia. Huwezi kuua watu hovyo halafu uwe na hofu ya kweli ya kwenda kinyume na imani za kiroho/kidini.

Na kwa nchi isiyo na demokrasia kama Russia, Watawala huwa hawana hofu ya kufanya mambo yanayogusa imani za watu za kidini kwani hawana hofu ya kukataliwa kupitia sanduku la kura.

Puttin anatafuta kupumua japo kwa muda.
Wakati wa Krismas December 25th mbona alindelea kurusha mabomu. Sasa hivi kabanwa makende bndiyo anaanza kulialia.
 
The right message to putin and russia
FB_IMG_1672948309276.jpg
 
Putin siku hizi kawa comedian kushinda hata Zelenksy [emoji23]
Madaraka yaliyopitiliza kiasi kwa muda mrefu hulevya na kudumaza akili. Comedian huwa anact, yeye hapo hafanyi comedy bali ndio upeo wake wa kuwaza ulipofikia.

Wakati anataka kuanza uvamizi, alishauriwa na viongozi wote wa nchi za Magharibiu kuwa asifanye uvamizi huo. Hata watu wake wa security council nao walimshauri vivyo hivyo, lakini kwa vile uwezo wake wa kufikiri umeshadumaa hakuona busara ya ushauri huo aliopewa bure. Sasa hivi anawapigia propaganda watu wa Urusi kuwa Urusi haikuwa na jinsi bali kuingia vitani kutokana na uchokozi wa NATO ilihali alikuwa anawakaribisha viongozi karibu wote wa NATO kwenye lile meza lake refu na kughairi ushauri wao
 
Back
Top Bottom