Madaraka yaliyopitiliza kiasi kwa muda mrefu hulevya na kudumaza akili. Comedian huwa anact, yeye hapo hafanyi comedy bali ndio upeo wake wa kuwaza ulipofikia.
Wakati anataka kuanza uvamizi, alishauriwa na viongozi wote wa nchi za Magharibiu kuwa asifanye uvamizi huo. Hatu wake wake wa security council nao walimshauri vivyo hivyo, lakini kwa vile uwezo wake wa kufikiri umeshadumaa hakuona busara ya ushauri huo aliopewa bure. Sasa hivi anawapigia propaganda watu wa Ursusi kuwa Urusi haikuwa na jinsi bali kuingia vitani kutokana na uchokozi wa NATO ilihali alikuwa anawakaribisha viongozi karibu owte wa NATO kwenye lile meza lake refu na kughairi ushauri wao