Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

Hii vita sio ya Mrusi tu ni dunia nzima
Kama likitokea la kutokea maana Hakuna aijuae kesho
Mara karusha kombora na kajibiwa na huko Pakistan na India kikanuka hujakaa vizuri Manowari zilizopo Djibouti zikaanza kutandikwa
Naijua vita vizuri sana maana nimeahiriki mbili sehemu

Wengi tunaamini hakuna WW3 lakini hata sasa inafukuta taratibu au tumo kabisa
Nimeangalia mauzo na watu wananunua vifaa vya kujihami na nuclear nyie pigeni miluzi tu ohoooo
Jipatie hii kwa Tsh 2m tu full kila kitu
IMG_6319.jpg
 
Huo upumbafu wake aufanyie huko huko asije akajaribu kutugusa huku Africa atajuta.
... kwa statement hiyo ya Putin; nilitegemea hadi muda huu wakuu wa AU wawe njiani kuelekea Addis kwenye kikao cha dharura ikiwa ni pamoja na Samia kukatisha ziara yake Marekani kuelekea Addis kujadili na wakuu wenzake. Hili jambo ni zito sana!
 
Hii vita sio ya Mrusi tu ni dunia nzima
Kama likitokea la kutokea maana Hakuna aijuae kesho
Mara karusha kombora na kajibiwa na huko Pakistan na India kikanuka hujakaa vizuri Manowari zilizopo Djibouti zikaanza kutandikwa
Naijua vita vizuri sana maana nimeahiriki mbili sehemu

Wengi tunaamini hakuna WW3 lakini hata sasa inafukuta taratibu au tumo kabisa
Nimeangalia mauzo na watu wananunua vifaa vya kujihami na nuclear nyie pigeni miluzi tu ohoooo
Jipatie hii kwa Tsh 2m tu full kila kitu View attachment 2189499
Hizo utopolo tu mionzi ikikita kwenye maji ya kunywa na chinese wanazokula wabongo nani atasurvive? Utajikinga kwa muda ila si kwa wakati wote
 
... Bome-e, Putin mwenyewe kapagawa kwa flagship yake kuzamishwa; bado msimamo wako ni uleule kwamba ni "meli la kizamani"?
Kuzamishwa kwa hile meli inawezekana ukawa mpango maalum uliofanywa ili kumfanya Putin awe aingie vitan kiujumla na hili nazani ndo hili ndilo litalomtoa comedian madarakan very soon
 
Atatumia nini maana haya mavitu kwenye hii picha kama kayapoteza yote, amebakia na manyuklia tu na ambayo yapo yanaliwa timing, siku akithubutu kushambulia kwa nyuklia ndio itakua mwisho wa Urusi......Magharibi hukesha wakimpima na hayo manyuklia yake

main-qimg-541c7d42abee0333589258a7d84677b2
 
Back
Top Bottom