Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

Hii vita sio ya Mrusi tu ni dunia nzima
Kama likitokea la kutokea maana Hakuna aijuae kesho
Mara karusha kombora na kajibiwa na huko Pakistan na India kikanuka hujakaa vizuri Manowari zilizopo Djibouti zikaanza kutandikwa
Naijua vita vizuri sana maana nimeahiriki mbili sehemu

Wengi tunaamini hakuna WW3 lakini hata sasa inafukuta taratibu au tumo kabisa
Nimeangalia mauzo na watu wananunua vifaa vya kujihami na nuclear nyie pigeni miluzi tu ohoooo
Jipatie hii kwa Tsh 2m tu full kila kitu View attachment 2189499
Tatizo Ni original au vya mchongo?
 
Tujiandae kupokea wakimbizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... kwa statement hiyo ya Putin; nilitegemea hadi muda huu wakuu wa AU wawe njiani kuelekea Addis kwenye kikao cha dharura ikiwa ni pamoja na Samia kukatisha ziara yake Marekani kuelekea Addis kujadili na wakuu wenzake. Hili jambo ni zito sana!
Afrika hawana time na lolote wao wanasubiri wapelekeshwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haaaa haaa Ila naweza amini sio kwa show mbovu ya Ukraine
😂😂😂 et show mbovu , kama namuona vile babu Putin akishindwa mechi kwa mtoto mzuri .....😂😂😂
🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦
 
Back
Top Bottom