Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

Inatakiwa sasa nyuzi kama hizi zifutwe .
Kama hii ilivyofutwa kwenye uso wa Dunia
FB_IMG_16500931223323697.jpg
 
Kuzamishwa kwa hile meli inawezekana ukawa mpango maalum uliofanywa ili kumfanya Putin awe aingie vitan kiujumla na hili nazani ndo hili ndilo litalomtoa comedian madarakan very soon
Fikra potofu hizo, japo ni mawazo yako!!yaani li ji meli lile alizamishe eti kuhararisha kitu, kwani mangapi ameyafanya bila kuangalia matokeo yake?
 
Kwasababu alishasema atazivamia nchi jirani wanachama wa NATO na leo ametangaza WWIII basi athubutu kuzivamia Poland, Finland, Estonia au Sweden maana hao ndio jirani zake wakuu then tutambue kuwa anamaanisha na alichokitamka rais Putin.
 
Mpumbavu sana huyu nyau. Amejitegesha tegesha na hayo ma-nuclear yake. Anataka awe anapiga asirudishiwe ni kama mtoto tu. Anatamani sana aandikwe kwenye historia kwa kuonyesha uwezo wa nuclear tu,vita vya kawaida vimemshinda
 
Atatumia nini maana haya mavitu kwenye hii picha kama kayapoteza yote, amebakia na manyuklia tu na ambayo yapo yanaliwa timing, siku akithubutu kushambulia kwa nyuklia ndio itakua mwisho wa Urusi......Magharibi hukesha wakimpima na hayo manyuklia yake

main-qimg-541c7d42abee0333589258a7d84677b2
Duh..
Putin atakuwa anajuta kulianzisha!
 
Atatumia nini maana haya mavitu kwenye hii picha kama kayapoteza yote, amebakia na manyuklia tu na ambayo yapo yanaliwa timing, siku akithubutu kushambulia kwa nyuklia ndio itakua mwisho wa Urusi......Magharibi hukesha wakimpima na hayo manyuklia yake

main-qimg-541c7d42abee0333589258a7d84677b2
Na anga halifungwi anasubiliwa kwenye Kona akatwe mkia na kichwa tuone kiwiliwili chake kazi kitafanya
 
Back
Top Bottom