Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Madarakani kwenyewe amebaki kwa uminyaji wa demokrasia anaunga unga mambo.. kumbuka wasiwasi unazidi unavyo zidi kuzeeka..
 
Libya iliheshimiwa mipaka yake??
Kwan waliokuwa wanaipigania Libya si ni walibla wenyewe ila Gadaffi hakutaka kuona wala kusikia habari ya demokrasia baada ya kuonekana anatumia nguvu kubwa kwa raiya NATO wakaleta nguvu akatolewa na akauwawa ndio azabu yao watu wanaotaka kutawala kifalme...
 
Post zako ziko kishabiki sana, huna unalojua bora ukae kimya tu.
 
Kwa vikwazo vinavyoendelea... Putin lazima akae!
 
Kwamba kuna utajiri ukifikia huwezi filisika au unazungumzia kipi kwama wewe sio shabiki mkate bro..?hujui nguvu ya hivyo vikwazo mzee yani gharama za vita alafu nyuma vikwazo man..!

Russia inafilisika vipi kwa mfano
 
Russia inafilisika vipi kwa mfano
Mkuu tambua vita ni gharama alafu biashara nyingi zimekwama pia wakati huu wa vita alafu weka vikwazo vyote hivyo fikiria pia mikataba mingi imevunjika utasemaje kwamba haumii ???
 
Wewe boya ujui kitu
 
Mkuu tambua vita ni gharama alafu biashara nyingi zimekwama pia wakati huu wa vita alafu weka vikwazo vyote hivyo fikiria pia mikataba mingi imevunjika utasemaje kwamba haumii ???

Russia ni nchi yenye buget maalumu kwa matukio ya dharula, na sio kama wamekurupuka walishapiga hesabu za mbali, kwenye vita ya uchumi umoja wa uraya ndio utakao uma zaidi,
 
Naongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.
Wewe ujui hata putin alikanusha kuivamia ukrain hizo ni mbinu za vita kama russia ikitaka kuichukua ukrain kwa siku chache basi maafa kwa raia wakawaida yalitakiwa watu mil kama 2 hivi wauliwe ,tumia akili
 
Huwezi pangia nchi huru nani ijiunge naye na nani imuache
 
Ndiyo kukimbia kwenyewe russia anatumia akili ,muda siyo mrefu raia wa ukraine watabaini kuwa wao wamefanya chambo na kushikamana na warusi na kusimikwa serikali mpya
 
Yani wewe zuzu unakuja kubishana kijinga wewe unajua siraha za sumu za warusi kama akizitumia hapo ukraine unaokota watu kama kumbikumbi hata maji ya kunywa na yakuoga hawatakuwa nayo salama ,pia kuna siraha za kibiology za russia na kikemikali ni hatari ,russia ajataka kuteketeza taifa la ukrain bali anataka kuivunja hiyo serikali ya vibaraka kama ya kenya
 
Post zako ziko kishabiki sana, huna unalojua bora ukae kimya tu.
We mjuvi umezuiwa na nani kupost kama ni rahisi?

Au umeibiwa smartphone?

Anyway, chukua hii hapa toka kwa seneta Manchin wa Marekani akilalamika Marekani kuendelea kuitegemea Russia ktk bidhaa za mafuta ikiwemo petrol, ikinunua zaidi ya nusu milioni barrels (LITA MILIONI 79) za bidhaa hizo kwa siku toka kwa Russia ndani ya kipindi hiki cha vita

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…