Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Nawapenda sana watu wenye misimamo isiyoyumba.
Kama Rais wa Ukraine vile eti, hayumbishwi na Putin. Putin akatoe masharti yake kwenye nchi yake sio kwenye nchi ya watu.
 
Kumbe kufeli sio tena kwenye mapambano ya vita kama tulivyokubaliana toka mwanzo?!
leo ni siku ya ngapi tangu afanye uvamizi?

9E8F5BFE-319C-48A7-A0C6-E1FC47E3C97F.png


4425E140-D1EF-4187-AE49-78DAC00DDABF.png


2E4A6644-B4D9-4382-8A55-27B39025BDBA.png


89575657-467B-4DAC-A58C-B0E87C40808C.png


B6AE682A-CDDB-4BFB-901B-1BD0B64E4901.png
 
Nimeona umenukuu mara mbilimbili nikadhani una hoja,wewe tokea kwenye mada zako za udini nilishakupotezea siku nyingi.

Kati yangu mimi na wewe nani mdini, na nani anasapoti wanaounga ushoga???

Mimi Dalmine sitakuwa na akili za hivyo babaa, mimi naunga mkono nchi zinazopinga dhulma na ushoga, upo hapo!!!
 
Na huko urusi je, unafahamu masharti waliyopewa vyombo vya habari?!!jana mama mmoja anaishi urusi anahojiwa kwanini urusi inashambulia majengo na wananchi, alikataa kabisa akasema yeye anachokiona kwenye tv, magazeti ya urusi ni kuwa wamekwenda kulinda amani hawawezi kuwaua ndugu zao wa ukraine!!hicho unachosema ni propaganda za ulaya magharibi!!
Hatuwezi kumlaumu huyo mama kwani anachoonyeshwa na kukisikia kupitia vyombo vya habari vya Urusi ni hicho alichokisema!!
Putin anaamini kwwnye mabavu zaidi lakini wengine wanaamini kwenye kubana kwa akili, na hilo litamuumiza sana!!kwani hadi sasa wananchi wake wameanza kuonja machungu.
Okay
 
Putin analialia nini! Si alishatoa masharti toka Mwanzo lakini yanapuuzwa! Atulie ale kisago kimyakimya masharti atoe kwenye nchi yake sio nchi za wengine.
 
Leo Rais Putin kamweliza rais wa Ufaransa kuwa pamoja na mazungumzo ya amani yanayoendelea, lengo lake lipo pale pale, nalo ni kuicontrol Ukraine yote. Kaonya kuwa mashabulizi hatari bado hajafanya, ila yapo njiani (kama masharti yake hayatotekelezwa)

SmartSelect_20220303-215908_Chrome.jpg
 
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.

Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Unataka apige pige tuu ovyo kuua raia? Subiri kidogo non war security corridor for rescue people imeshatengwa na raia wameombwa kuondoka Ukraine ili sasa mrusi apige kyiv. Putin is very gentle
 
Back
Top Bottom