Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Kama Rais wa Ukraine vile eti, hayumbishwi na Putin. Putin akatoe masharti yake kwenye nchi yake sio kwenye nchi ya watu.Nawapenda sana watu wenye misimamo isiyoyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Rais wa Ukraine vile eti, hayumbishwi na Putin. Putin akatoe masharti yake kwenye nchi yake sio kwenye nchi ya watu.Nawapenda sana watu wenye misimamo isiyoyumba.
Kumbe kufeli sio tena kwenye mapambano ya vita kama tulivyokubaliana toka mwanzo?!Mpaka sasa ni wazi PUTIN amefeli. Maana vikwazo kila kona si mchezo
leo ni siku ya ngapi tangu afanye uvamizi?Kumbe kufeli sio tena kwenye mapambano ya vita kama tulivyokubaliana toka mwanzo?!
Utakuwa hufahamu hata tofauti ya EU na NATO, lete hapa link ya taarifa kuwa Ukraine jana wamejaza form ya kujiunga na NATOWame attempt jana kwa kujaza form na huenda maombi yakapitishwa baadae, vipi Ukraine imekoma kuwa taifa?
Alisikika mkulima wa mmoja baada ya mazao yake kunyauka kwa kukosa mvua ya kutoshaPutin atapigwa kichapo cha paka nyau.
Huenda akapigwa hadi Moscow na kupinduliwa kabisa
Nimeona umenukuu mara mbilimbili nikadhani una hoja,wewe tokea kwenye mada zako za udini nilishakupotezea siku nyingi.
Hoja hujibiwa kwa hoja, na co kutumia kauli mbaya.hoja gani ulizonazo zaidi ya kuzungumzia ushoga?
narudia tena huna akili
OkayNa huko urusi je, unafahamu masharti waliyopewa vyombo vya habari?!!jana mama mmoja anaishi urusi anahojiwa kwanini urusi inashambulia majengo na wananchi, alikataa kabisa akasema yeye anachokiona kwenye tv, magazeti ya urusi ni kuwa wamekwenda kulinda amani hawawezi kuwaua ndugu zao wa ukraine!!hicho unachosema ni propaganda za ulaya magharibi!!
Hatuwezi kumlaumu huyo mama kwani anachoonyeshwa na kukisikia kupitia vyombo vya habari vya Urusi ni hicho alichokisema!!
Putin anaamini kwwnye mabavu zaidi lakini wengine wanaamini kwenye kubana kwa akili, na hilo litamuumiza sana!!kwani hadi sasa wananchi wake wameanza kuonja machungu.
😀Alisikika mkulima wa mmoja baada ya mazao yake kunyauka kwa kukosa mvua ya kutosha
Tena mkulima wa vitunguuAlisikika mkulima wa mmoja baada ya mazao yake kunyauka kwa kukosa mvua ya kutosha
Toka Mang'ulaTena mkulima wa vitunguu
Unataka apige pige tuu ovyo kuua raia? Subiri kidogo non war security corridor for rescue people imeshatengwa na raia wameombwa kuondoka Ukraine ili sasa mrusi apige kyiv. Putin is very gentleSasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.