Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Chizi kweli ww, Putin anamiaka zaidi ya 30 katika uongozi huko Russia angekua mkurupukaji asingekaa kwa Amani miaka yote hio. Hapo umeona hadi ameingia vitani sababu usalama wa Urusi upo hatarini Sana. NATO, US, wanataka WA deploy nuclear missile Ukraine ili waiangamize Moscow, hivo putin kaamua liwalo na liwe angalia Ile speech yake alomalizia kuwa he is Ready for any outcomes Ata kama ikibidi itokee ww3 potelea pote, afe kipa afe beki hatoruhusu NATO wa deploy nuclear missile hapo mlangoni kabisa na Moscow.

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Madarakani kwenyewe amebaki kwa uminyaji wa demokrasia anaunga unga mambo.. kumbuka wasiwasi unazidi unavyo zidi kuzeeka..
 
Libya iliheshimiwa mipaka yake??
Kwan waliokuwa wanaipigania Libya si ni walibla wenyewe ila Gadaffi hakutaka kuona wala kusikia habari ya demokrasia baada ya kuonekana anatumia nguvu kubwa kwa raiya NATO wakaleta nguvu akatolewa na akauwawa ndio azabu yao watu wanaotaka kutawala kifalme...
 
Post zako ziko kishabiki sana, huna unalojua bora ukae kimya tu.
Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia.

Putin kasisitiza kuwa amani nchini Ukraine itarejea tu kama madai ya msingi ya usalama wa Russia yatazingatiwa pasi na masharti yoyote, ikiwemo kutambua jimbo Crimea kama sehemu ya Russia, kuondoa silaha za NATO/US kwenye ardhi ya Ukraine, kuondoa waNazi ktk Ukraine, na kutoa hakikisho kuwa Ukraine haitojiunga na NATO.

======

Russian President, Vladimir Putin has laid out his conditions for stopping the ongoing war with Ukraine.

Russian forces have shelled Ukraine’s second city and Western nations are preparing even more sanctions.

A peace talk was held between Moscow and Kyiv in the Belarusian borders on Monday, being the first meeting since last Thursday when the war broke out.

The meeting ended with both sides merely agreeing to hold a second round of negotiations “soon”.

However, the Russian leader was able to pass the message on the only conditions under which he would consider withdrawing his troops from the neighbouring country during a phone conversation with France President, Emmanuel Macron on Monday.

“Putin stressed that a settlement is possible only if Russia’s legitimate security interests are unconditionally taken into account, including the recognition of Russian sovereignty over Crimea, the demilitarisation and denazification of the Ukrainian State and ensuring its neutral status,” CNN quoted a Russian statement via UK medium, PA News agency after the telephone conversation between the two leaders.

The war started on Thursday when President Putin ordered the invasion of Ukraine over some political reasons.

Even as the dialogue was underway on Monday, at least 11 people were killed by Russian attacks in Ukraine’s second largest city of Kharkiv.

Source: Russian President, Putin gives conditions to
 
Kwa vikwazo vinavyoendelea... Putin lazima akae!
 
Kwamba kuna utajiri ukifikia huwezi filisika au unazungumzia kipi kwama wewe sio shabiki mkate bro..?hujui nguvu ya hivyo vikwazo mzee yani gharama za vita alafu nyuma vikwazo man..!

Russia inafilisika vipi kwa mfano
 
Russia inafilisika vipi kwa mfano
Mkuu tambua vita ni gharama alafu biashara nyingi zimekwama pia wakati huu wa vita alafu weka vikwazo vyote hivyo fikiria pia mikataba mingi imevunjika utasemaje kwamba haumii ???
 
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.

Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Wewe boya ujui kitu
 
Mkuu tambua vita ni gharama alafu biashara nyingi zimekwama pia wakati huu wa vita alafu weka vikwazo vyote hivyo fikiria pia mikataba mingi imevunjika utasemaje kwamba haumii ???

Russia ni nchi yenye buget maalumu kwa matukio ya dharula, na sio kama wamekurupuka walishapiga hesabu za mbali, kwenye vita ya uchumi umoja wa uraya ndio utakao uma zaidi,
 
Naongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.
Wewe ujui hata putin alikanusha kuivamia ukrain hizo ni mbinu za vita kama russia ikitaka kuichukua ukrain kwa siku chache basi maafa kwa raia wakawaida yalitakiwa watu mil kama 2 hivi wauliwe ,tumia akili
 
Huwezi pangia nchi huru nani ijiunge naye na nani imuache
 
Marekani hakukimbia Vietnam kisa silaha, kilichomtoa huko ni hili kosa analolifanya Putin la kutaka kupigana na taifa lote wakiwemo wananchi. Marekani alijikuta anapigana na akina mabibi, mababu, watoto, n.k.

Yaani mnapita kijiji wakulima wanaojilimia hawana issue, ghafla mnashangaa hao wakulima wanageuka kuwa wapiganaji wanawafyatulia risasi za ghafla.

Wananchi wakishaaminishwa propaganda za kutosha na kupata mzuka, mbona utaomba poo maana hizo silaha zako watakua wanazikojolea, utaua wangapi, mamilioni ya watu kwenye nchi yao, vitongoji vyao, milima yao, mashamba yao, mito yao....
Ndiyo kukimbia kwenyewe russia anatumia akili ,muda siyo mrefu raia wa ukraine watabaini kuwa wao wamefanya chambo na kushikamana na warusi na kusimikwa serikali mpya
 
Akitumia nyuklia atagaragazwa na dunia maana atakua amegusa pabaya, hakuna taifa linalorushusiwa kutumia silaha za nyuklia kwenye ulimwengu wa leo, kwa kuzitumia hapo ina maana umejitoa mhanga.
Kwa sasa dunia inashuhudia anavyoaibishwa, inanikumbusha kitambo nikiwa mdogo shuleni, kuna mwanafunzi tulikua tunamwogopa kwa alivyokua mkubwa kimaumbile, ila siku moja akachokozana na dogo fulani, dogo alijitutumua japo alishindwa kwenye mapambano ila aliweza kudhihirisha udhaifu wa huyo tuliyekua tunamwogopa, na kuanzia hiyo siku akawa anachokozwa na wote.

Urusi wangeendelea kuaminisha dunia kuwa wao ni wababe ili soko lao la silaha linawiri haswa kwa mataifa ya kiarabu. Leo Mchina, Mhindi na wengine wote wanamsoma na kuona kumbe bonge la hovyo tu.
Yani wewe zuzu unakuja kubishana kijinga wewe unajua siraha za sumu za warusi kama akizitumia hapo ukraine unaokota watu kama kumbikumbi hata maji ya kunywa na yakuoga hawatakuwa nayo salama ,pia kuna siraha za kibiology za russia na kikemikali ni hatari ,russia ajataka kuteketeza taifa la ukrain bali anataka kuivunja hiyo serikali ya vibaraka kama ya kenya
 
Post zako ziko kishabiki sana, huna unalojua bora ukae kimya tu.
We mjuvi umezuiwa na nani kupost kama ni rahisi?

Au umeibiwa smartphone?

Anyway, chukua hii hapa toka kwa seneta Manchin wa Marekani akilalamika Marekani kuendelea kuitegemea Russia ktk bidhaa za mafuta ikiwemo petrol, ikinunua zaidi ya nusu milioni barrels (LITA MILIONI 79) za bidhaa hizo kwa siku toka kwa Russia ndani ya kipindi hiki cha vita

 
Back
Top Bottom