Kama mtu anakupangia cha kufanya unakubali atazid kukuamulia tu na utazid kuwa mtumwa wake ipo siku atawaambia Ukraine sitak ubaloz wa marekan kesho atasema sitak uongeee na UK yan watakuwa watuma no sovereign state sasa apoJapo msimamo wangu ni kila nchi iwe huru kujiamulia mambo yake na Urusi hana haki ya kuamua maslahi ya Ukraine lakini sioni ulazima wa Ukraine kujiunga NATO kwa gharama ya kuhatarisha amani ya dunia, na pia sioni ulazima wa USA/NATO kuweka silaha zake Ukraine kwa gharama hiyo hiyo ya kuhatarisha amani ya dunia.
Acha tu boss. Sasa unaonaje? Bora wauane yaishe siyo?Kama mtu anakupangia cha kufanya unakubali atazid kukuamulia tu na utazid kuwa mtumwa wake ipo siku atawaambia Ukraine sitak ubaloz wa marekan kesho atasema sitak uongeee na UK yan watakuwa watuma no sovereign state sasa apo
Sawa.ila najua hata ukitaka niwe upande wako tutaanza ongea tena udini hii misimamo yenu ya kupinga America inaendana na dini zenu pia..Tatizo lako upo kishabiki. Unatetea ujinga badala kukemea
Ndiyo maana mnauliwa huko marekani and still mnawanyenyekea na kuficha mabaya yao.Unapoandika hapo sasa hivi ujue kuwa Marekani yupo Syria na hakuna wa kumtoa na mafuta anafyonza vibaya.
Unafikir akikubali ndo yatakuwa yameisha Russia hata msumbua tena kwa taarifa tu urussi haijaanza Leo kuvamia Ukraine pia alishavamia hao majiran zake akina Georgia zikapigwa watu wakawa na heshima my point urusi hataacha kumuandamaAcha tu boss. Sasa unaonaje? Bora wauane yaishe siyo?
Kuna kaukweli.Unafikir akikubali ndo yatakuwa yameisha Russia hata msumbua tena kwa taarifa tu urussi haijaanza Leo kuvamia Ukraine pia alishavamia hao majiran zake akina Georgia zikapigwa watu wakawa na heshima my point urusi hataacha kumuandama
Sawa.ila najua hata ukitaka niwe upande wako tutaanza ongea tena udini hii misimamo yenu ya kupinga America inaendana na dini zenu pia..
We tulia bhana unalia na ushoga wakati upo mpaka kwa majirani zako hapo....unafikiri dhambi ni moja tu ya ushoga???wauwaji na mashoga na wezi na mafisadi na waongo na wanaojitoa muhanga wote kuni zao zimeshakauka huko Jehanam..Sawa. Na ndiyo maana mnashutiwa huko marekani lakini bado mnawashobokea. Pia anaelitetea taifa la marekani akubali kuwa anasapoti ushoga.
Sidhani kama anashindwa kukabinua ka'ukraine' juuchini! Msishabikie msichokijua! Bado warusi hawajaamua kuua Kila kinachotembea ndio maana hawarushi mizinga Yao mizito ovyo ovyo!Naongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.
Hilo miachie Putin,yeye anajua nini atafanya na wewe na wamerakani wenzio mtashuhudia kwan anajua nink anataka na hatanii linapokuja suala la maslahi ya nchi yakeMimi swali ninalojiuloiza kuwa akishalishinda jeshi la Ukraine itakuwaje? maana ndio kazi nzito iliyopo hapo
Itabidi aweke serikali itakayotii matakwa yake na kuijenga UKRAINE? maana hii task ni ngumu sana kuliko kushinda vita, hasa ukiweka vikwazo na resistance waliyompa Ukraine
nendeni mkatoe UKRAINE sasa mnangojea nini [emoji23][emoji23][emoji23]Marekani hapo alikua anapigana vita vya mbali, deployment ya mbali sana ambayo hugharimu sana kijeshi, huyu Mrusi wenu kajirani kake hapo anafanya deployment ya all out na mpaka sasa ni ngonjera tu, Warusi wengi wanapata aibu maana walijua wako sawa kijeshi na walitembea kifua mbele siku zote, ila Putin kawatia aibu sana.
lakini maskini UKRAINE anapata sapoti kutoka mataifa makubwa kuliko alivyokua tajiri IRAQSasa Iraq na Ukraine sawa? Iraq alijiaandaa na alikuwa na uchumi mzuri kuliko maskini Ukraine
si mliwapa wenyewe silaha yunawapelekea moto huko huko walipo jifichiakwani dozi ilipungua ndugu mrusi wa buza?
mbona anagawa kipigo na hatuoni kipigo chake zaidi ha kupiga maeneo ya raia tu
View attachment 2135178
huyo wa 2000s hawezi akakuelewaDuh jamaa unaandika kama unatapika..
Muwe mnafanya research kabla ya kuandika.
Umeambiwa ile ni evacuation mission?
Soma historia iliwachukua muda gani US ku conquer Iraq, Afghanistan.
Au unafikiri ile ni game pale?
Ile ni vita ya ardhini kwa asilimia kubwa. Sio rahisi kama unavyowaza. Huyo US aliona cha moto alipoingia Somalia kipindi hicho 1990's au ulikua hujazaliwa? Vita ya ardhini ni ngumu.
tutawaua tu nasisi tukiwa tunajilindaWananchi wameauma kusimama na taifa lao kupinga uvamizi. Hata akifanikiwa kufika Kiev bado wanajeshi wake watapata tabu maana wananchi wamekabidhiwa silaha kujilinda.
Sababu matajiri zaidi kumpiga Iraqlakini maskini UKRAINE anapata sapoti kutoka mataifa makubwa kuliko alivyokua tajiri IRAQ
Kishaminywa kende mwenzako, kumtia umaskini ndio njia muafaka kabisa ya kummaliza adui yako, shambulia mifuko yake kwanza na ndicho anachofanyiwa Putin sasa, hii vita hatoboi soon ataomba poo, mnyamwezi akihisi una criminal au misheni zisizoeleweka anaanza kuvamia account zako na income zako and freeze them kabla hata kesi haijaanza, utakata deal tuu hata kama hujafanya kosawe bwege kweli urusi sio kama zimbabwe unapoiwekea vikwazo urusi na yenyewe inaweka vya kwake na ukumbuke kua venezwela iran china haya mataifa yote yapo upande wa urusi, na yana nguvu kiuchumi, vikwazo mtawekewa nyie dunia ya tatu mnaozunguka usiku na mchana kuomba omba mpka pesa ya kujengea vyoo vya shule f*kn sht!
Na hakuwa peke yake,alisaidiwa na mataifa mengineAcha kutudanganya, Marekani jumlisha washirika wake (nchi kibao) iliwachukua siku 7 kuiangusha Baghdad, na walitumia zaidi ya mwezi 1 kuiangusha Iraq yote.
Sasa Russia ndani ya siku chache kachukua kishajitwalia majimbo mawili ya Ukraine na amezingira miji mingine kadhaa ikiwemo Kyiv
View attachment 2134966View attachment 2134967
Mabinti wa kiafrika wanaoenda kufanya kazi za ndani kule uarabuni wanateswa sana na waarabu lakini hamsemi. Watu kwa unafiki tu hamjambo.Ndiyo maana mnauliwa huko marekani and still mnawanyenyekea na kuficha mabaya yao.
So, wanavyouliwa black Americans it means wamarekani wako sahihi sio!!!. Je, Ingelikuwa ndiyo nchi za kiarabu ama Russia wanatekeleza Mauwaji hayo kwa watu weuc!!!!