Mwambwaro
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,309
- 3,522
Kama mtu anakupangia cha kufanya unakubali atazid kukuamulia tu na utazid kuwa mtumwa wake ipo siku atawaambia Ukraine sitak ubaloz wa marekan kesho atasema sitak uongeee na UK yan watakuwa watuma no sovereign state sasa apoJapo msimamo wangu ni kila nchi iwe huru kujiamulia mambo yake na Urusi hana haki ya kuamua maslahi ya Ukraine lakini sioni ulazima wa Ukraine kujiunga NATO kwa gharama ya kuhatarisha amani ya dunia, na pia sioni ulazima wa USA/NATO kuweka silaha zake Ukraine kwa gharama hiyo hiyo ya kuhatarisha amani ya dunia.