Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Nawapenda sana watu wenye misimamo isiyoyumba.
Kama Rais wa Ukraine vile eti, hayumbishwi na Putin. Putin akatoe masharti yake kwenye nchi yake sio kwenye nchi ya watu.
 
Nimeona umenukuu mara mbilimbili nikadhani una hoja,wewe tokea kwenye mada zako za udini nilishakupotezea siku nyingi.

Kati yangu mimi na wewe nani mdini, na nani anasapoti wanaounga ushoga???

Mimi Dalmine sitakuwa na akili za hivyo babaa, mimi naunga mkono nchi zinazopinga dhulma na ushoga, upo hapo!!!
 
Okay
 
Putin analialia nini! Si alishatoa masharti toka Mwanzo lakini yanapuuzwa! Atulie ale kisago kimyakimya masharti atoe kwenye nchi yake sio nchi za wengine.
 
Leo Rais Putin kamweliza rais wa Ufaransa kuwa pamoja na mazungumzo ya amani yanayoendelea, lengo lake lipo pale pale, nalo ni kuicontrol Ukraine yote. Kaonya kuwa mashabulizi hatari bado hajafanya, ila yapo njiani (kama masharti yake hayatotekelezwa)

 
Unataka apige pige tuu ovyo kuua raia? Subiri kidogo non war security corridor for rescue people imeshatengwa na raia wameombwa kuondoka Ukraine ili sasa mrusi apige kyiv. Putin is very gentle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…