Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Ingia kwa milard uone propaganda za magharibi zinaendelea kupotosha.

Fuatilia CNN na BBC propaganda za kufa mtu. Ndiyomaana huwa cfuatilii hizi media za kipumbafu
Wasiwasi wako tu. mrengo uliuchagua always sio wa kishinda wafazili wa makundi ya kigaidi nyie ndo wakombozi kwenu tulia jamaa washike usukani tumeona wana nia na maisha sio vita vya kuoneshana umwamba huku maisha ya watoto yanaharibika
 
...kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika...
Udhaifu mkubwa sana kama vile ule wa Kenya huko Somalia.
 
Masharti ya kumaliza vita au kumaliza uvamizi??.... ok!km haitoshi! Ka Rais ka -Ufaransa kale !!! yeye naongea na Rais Putin km nani??....yeye ndo Mwakilishi wa NATO??......Mbona kwa sasa hao wasjhirika wa NATo hatuwasikii tena huko

Al Jazeera BBC, CNN km vile mwanzo tulivo wasikia kwa mbwembwe!! nacho ona na kusikia ni Russia kusonga mbele tu kivita! NATO wamepata kigugumizi cha wapi? haya majamaa hayana kitu zaidi ya mwembwe tu!! lkn pia jamani km siyo uchokozi wa wazi tuu!!

nchi km USA mbaali kule unataka nini huku?? yaani ningekuwa mie ndo Putini wangejua kuwa hawajui!......na wasingerudia huo mchezo!! wa kunijaribu hovyo!
 
Hii vita itaendelea
Upande wa pili wa shilingi: Ni vyema vita ikaendelea ili 'tunufaike' zaidi na volatilty iliyopo kwenye financial market, Uki_hold currency Pair kwa 1hr pips za kutosha, GBP na EUR cross 'pairs' zinafanya vizuri sana tangu mvutano wa Russia_Ukrain uanze.

Hapo mshangao 😳 ni: Hee! Kumbe kuna wanao nufaika na mtifuano wa Russia_Ukrain? Jibu ni ndio.
 
Dogo iyo ni vita ya kizamani sana! leo mkitaka kupigana wote mnapigwa bomu la ku para lyse wote kwa mkupuo kifupi unakufa polepole! unajiona!! na wanao mkeo una waona ivi!! sasa utakubali??
 
Ingia kwa milard uone propaganda za magharibi zinaendelea kupotosha.

Fuatilia CNN na BBC propaganda za kufa mtu. Ndiyomaana huwa cfuatilii hizi media za kipumbafu
Una habari kama waandishi wa Kimataifa wako front?
 
Ye Putin kama anajiamini na silaha zake amwache Ukraine ajichagulie rafiki siku akiona hatari anapiga bomu huyo Ukraine na huyo rafiki yake..mbona basi amekuwa mwoga kupindukia
Mbona US aliogopa Russia kuweka base Cuba. Anachofanya Urusi ndicho alichofanya Marekani kwa Cuba, aliogopa uwepo wa Russia kuweka base yake. Sasa hapa.kinachotokea Marekani ndio washenzi wanavunja makubaliano.
 
FSB itakuwa imelala PONO?
Lazima maongezi yafanyike kabla hawajakubaliwa.

Kwa sasa naona Ukraine inajiunga EU
Nimeona wanasema eti wamekataliwa ni kweli?
 
we bwege kweli urusi sio kama zimbabwe unapoiwekea vikwazo urusi na yenyewe inaweka vya kwake na ukumbuke kua venezwela iran china haya mataifa yote yapo upande wa urusi, na yana nguvu kiuchumi, vikwazo mtawekewa nyie dunia ya tatu mnaozunguka usiku na mchana kuomba omba mpka pesa ya kujengea vyoo vya shule f*kn sht!
 
Mbona US aliogopa Russia kuweka base Cuba. Anachofanya Urusi ndicho alichofanya Marekani kwa Cuba, aliogopa uwepo wa Russia kuweka base yake. Sasa hapa.kinachotokea Marekani ndio washenzi wanavunja makubaliano.

Marekani safari hii wameingia cha kike
 
Kwa uchumi upi wa kwenda sawa na vikwazo vyote hivyo siku ya tano tu Bank imeongeza riba 20% mnasema ni propaganda na wakati Putin mwenyewe wakati anaitisha vikosi vya nuclear alisema vikwazo anavyowekewa sio halali atulie dawa iingie..
 
nadhani haujajua russia ina impact gani kwenye uchumi wa dunia, unachokifanya wewe ni ushabiki maandazi
 
nadhani haujajua russia ina impact gani kwenye uchumi wa dunia, unachokifanya wewe ni ushabiki maandazi
Kwamba kuna utajiri ukifikia huwezi filisika au unazungumzia kipi kwama wewe sio shabiki mkate bro..?hujui nguvu ya hivyo vikwazo mzee yani gharama za vita alafu nyuma vikwazo man..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…