prumpeti
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 1,023
- 2,308
[emoji23]Tokea jumapili unaambiwa msafara wa kilometers 64 wa kijeshi wa urusi upo kilometers 20 tu kufika Kiev sasa sijui umenata kuingia Mjini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Tokea jumapili unaambiwa msafara wa kilometers 64 wa kijeshi wa urusi upo kilometers 20 tu kufika Kiev sasa sijui umenata kuingia Mjini?
Anavuliwa nguo sasa maana raia nao wameamua kuingia uwanja wa mapambano kupigania nchi yaoUnaposema hivyo ni kama unamaanisha Putin anachukua maamuzi bila Cabinet yake inayomzunguka, hawezi kupeleka Jeshi lote kule....kule alipeleka vijana wadogo JKT wa huku
Wasichojua Warusi wa kwa Mtogole;Nimemuona Zelensky jana na fomu ya kuomba uanachama wa EU na kaweka sahihi zake zote., ni wazi Putini hasikilizwi kwa chochote Ukraine ni nchi huru kujiunga ama kutokujiunga na NATO ni matwaka ya Ukraine wenyewe ataisoma namba soon vikwazo viendelee
Sawa wewe fuatilia ile ya media ya Russia(RTI) maana haina propaganda.Ingia kwa milard uone propaganda za magharibi zinaendelea kupotosha.
Fuatilia CNN na BBC propaganda za kufa mtu. Ndiyomaana huwa cfuatilii hizi media za kipumbafu
Hahahhaha! Hapo njiani kuna barabara za tope ndio maana ameshindwa kufika Kiev ndani ya masaa 24Tokea jumapili unaambiwa msafara wa kilometers 64 wa kijeshi wa urusi upo kilometers 20 tu kufika Kiev sasa sijui umenata kuingia Mjini?
Wakati warusi wanatoa propaganda mpaka wanasema raisi wa Ukraine ameyambia majeshi yake yaweke silaha chiniii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa wewe fuatilia ile ya media ya Russia(RTI) maana haina propaganda.
Oya, Putin mwanzo alisema hana mpango wa kushambulia na akashambulia, huku akijua ndiyo plan zake, zote hizo ni plans, alijua vita ni ingechukua muda mrefu, ila si rahisi kusema tunakuja kwa vita ya muda mrefu, ni rahisi kusema tuna operation ndogo ya masaa 24, ili aingie.., ili vita ikiwa ndefu asilaumiwe, unatakiwa ujue wakati wanajeshi wako uwanjani, viongozi lazima wawe kwenye media kuendeleza propaganda na uongo., kila kauli itakuwa accountable baadae., hata Nato walivyoenda Afghanistan walisema wanaenda kidogo kumtafuta Osama., sasa niambie walikaa muda gani.., walienda uarabuni kuiba mafuta na sio kutafuta magaidi, wewe mkenya una akili ndogo sanaJikite kwenye mada, nyie timu Putin naona mumeishiwa jamaa kawaibisha sana yule, masaa 24 imekua zaidi ya wiki na bado kamasi linamtoka.
Acha ushamba, vita za marekani zikikua ni coalition of many countries including regional countries za eneo husika. Sasa iyo hoja ya deployment ya mbali unaitoa wapi?Marekani hapo alikua anapigana vita vya mbali, deployment ya mbali sana ambayo hugharimu sana kijeshi, huyu Mrusi wenu kajirani kake hapo anafanya deployment ya all out na mpaka sasa ni ngonjera tu, Warusi wengi wanapata aibu maana walijua wako sawa kijeshi na walitembea kifua mbele siku zote, ila Putin kawatia aibu sana.
Hayo masaa 24 umesema WeWe putin hajataja mda maalumu, weka huo ushahidi wa masaa 24 tuone hapa.Naongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.
[emoji2955][emoji2955]naona mnamtia moyo huyo muhuni kama mlivyo fanya kwa Saddam na Osama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha ushamba, vita za marekani zikikua ni coalition of many countries including regional countries za eneo husika. Sasa iyo hoja ya deployment ya mbali unaitoa wapi?
Kambi za US zipo kila mahali zimetapakaa dunuani. Vita gani US kapigana akiwa peke yake acha hoja zisizo na mashiko.
Ukraine atachapwa, kyiev itachukuliwa na US hatomsumbua kichwa putin.
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Tofautisha EU na NATO ni vitu tofauti kabisa unaeza ukajiunga EU ila usiruhusiwe kajiunga NATO. muulize uturuki anamiaka mingapi hadi Leo amekataliwa kujiunga EU ndo itakua huyo Ukraine.Nimemuona Zelensky jana na fomu ya kuomba uanachama wa EU na kaweka sahihi zake zote., ni wazi Putini hasikilizwi kwa chochote Ukraine ni nchi huru kujiunga ama kutokujiunga na NATO ni matwaka ya Ukraine wenyewe ataisoma namba soon vikwazo viendelee
Sawa wewe fuatilia ile ya media ya Russia(RTI) maana haina propaganda.
Hivi kwanini Norway sio mwanachama wa EU?Tofautisha EU na NATO ni vitu tofauti kabisa unaeza ukajiunga EU ila usiruhusiwe kajiunga NATO. muulize uturuki anamiaka mingapi hadi Leo amekataliwa kujiunga EU ndo itakua huyo Ukraine.
Kwanza France and German wameshakataa Ukraine isijuinge EU. Wamesema itamchukua at least 7 years za reform ndo afikiriwe kujiunga EU
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Kuwa shoga ni uamuzi wa mtu man na ni dhambi kama dhambi zingine utajuana na muumba wako....Mayahudi/Wamarekani weusi endeleeni kuunga mkono wanaosapoti ushoga,,, sisi tunabaki na wanaopinga ushoga.
Warusi walivyoingia kwa kelele na mbwembwe ni kama asubuhi walikua wanaichukua Ukraine kumbe kelele tuu.
[emoji16]kwamba anasubiri mpaka serikali imwambieKuwa shoga ni uamuzi wa mtu man na ni dhambi kama dhambi zingine utajuana na muumba wako....
Chizi kweli ww, Putin anamiaka zaidi ya 30 katika uongozi huko Russia angekua mkurupukaji asingekaa kwa Amani miaka yote hio. Hapo umeona hadi ameingia vitani sababu usalama wa Urusi upo hatarini Sana. NATO, US, wanataka WA deploy nuclear missile Ukraine ili waiangamize Moscow, hivo putin kaamua liwalo na liwe angalia Ile speech yake alomalizia kuwa he is Ready for any outcomes Ata kama ikibidi itokee ww3 potelea pote, afe kipa afe beki hatoruhusu NATO wa deploy nuclear missile hapo mlangoni kabisa na Moscow.Kwani Biden amefyata mkia au jamaa amezingatia madhara ya vita tena vita vya kupigana na mtu anae kurupuka kama ngurue pori ghafla tu ame alert nuclear...anaweza uwa watu yule mjinga
Wanataka mipaka iheshimiwe sio mtu unaamua tu kumvamia jirani sababu tu yupo karibu na wewe huo ni uonevu..Madai ya Putin yako wazi ila hawa mabeberu wa magharibi hawaeleweki wanataka nini Ukrain