Umeua! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hata mambo ya kijinga anajibu ni vema aukatae uzee.Uzee kmnioko!Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe na hasa yule Borrison wa uingerezaView attachment 2277981
Kama hata mambo ya kijinga anajibu ni vema aukatae uzee.Uzee kmnioko!
Uzee kmnioko!πππVita ni vita muraaa πππππkila kitu kinajibiwa kwan sh ngap.
Picha ya zamani sana, kipindi icho Putin mlevi mlevi mleviSalama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe na hasa yule Borrison wa uingerezaView attachment 2277981
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna dhambi nyie khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]General Pavel wa UrusiView attachment 2278021
Lkn kweli[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2278556
Viongozi hao walisema Mkuu wa nchi hawezi kuweka hadharani picha zake akiwa hana shati. Putin amesema viongozi hao wakiweka picha kama zake watu watakumbia.
Ninapiga picha Boris Johnson aweke picha kama ya Putin.