Putin awajibu maadui zake kuhusu yeye kupiga picha kifua wazi

Putin awajibu maadui zake kuhusu yeye kupiga picha kifua wazi

Si bora mara 10000 raisi kupiga picha kifua wazi kuliko hao wanaokubali ushoga
 
Homicidal dictator anazeeka vibaya
Huyu Homicidal dictator amekulia katika maisha ya dhiki sana. Kwa iyo maisha yake yamekua na hasira sana na watu wenye utajiri
 
Huyu Homicidal dictator amekulia katika maisha ya dhiki sana. Kwa iyo maisha yake yamekua na hasira sana na watu wenye utajiri

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Huyu alijifunza misingi ya kuitetea nchi yako hata ikibidi kwa gharama za kupoteza uhai, tangu akiwa kijana mdogo sawa na chipukizi wetu.
 
View attachment 2278556
Viongozi hao walisema Mkuu wa nchi hawezi kuweka hadharani picha zake akiwa hana shati. Putin amesema viongozi hao wakiweka picha kama zake watu watakimbia..

Ninapiga picha Boris Johnson aweke picha kama ya Putin.
Ila ana body zuri Putin, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmeanza sasa, yaan sijui mkoje khaaah.
Mh
JamiiForums-1252707500.jpg
 
Back
Top Bottom