Putin Awarudisha Askari Majeruhi Wakiwa Kwenye Magongo Vitani

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
Lee Van free TUJITEGEMEE

Wale wa Korea Kaskazini waliamua kuondoka Kursk baada ya kuona Uwanja umeinama..
 
Putin ni dikteta
 
Duh,
Itakuwa Putin ashachoka sana na hekaheka za hiyo vita, ila ndo hivyo super power mzima hawezi kuacha kwa sababu ya aibu.

Miaka 3 iliyopita, tarehe 24 February, 2022 alipotuma ule msafara wa askari, vifaru, makombora, mizinga, nk, wa 60 km kwenda kuteka Kiev hakujua haya.

Kwa sasa anatamani muujiza wa kusitisha hiyo vita...


View: https://youtube.com/watch?v=keP-mG4vN8c&si=wE253uOLIFYJOtJD
 
Keep dreaming...
Rubio majuzi kasema wazi kuwa ni ndoto kusema Ukraine anaweza kushinda vita.
TRump kaomba mazungumzo na Putin kuinusuru Ukraine..
 
Tunaomba picha za wapiganaji wa Kirusi Frontline wakiwa na ulema .
Nb. Vita si lelemama!
Fungua hiyo site hapo chini ya the express ujioneešŸ¤”
 
Keep dreaming...
Rubio majuzi kasema wazi kuwa ni ndoto kusema Ukraine anaweza kushinda vita.
TRump kaomba mazungumzo na Putin kuinusuru Ukraine..
Trump hapendi vita
 
Hayo maneno anaweza kuongea Mlodova ama Myukraine ama Mfaransa .Wale wenye kisokolokwinyo na Mrusi ama Babu Mzee yulee wa Marekani ya kabla ya Mzee Trumpet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…