Putin Awarudisha Askari Majeruhi Wakiwa Kwenye Magongo Vitani

Askari elfu 48 ndani ya mwezi!?.. halafu zelensky mwezi huohuo analalama putin hataki suluhu na anapoteza territories,vichwa vyenu mnatumia kufanya nini!?
Zennesky lazima aseme hivyo ili aendelee kupata support ya washirika.Russia na Putin wake wamebugi step kuvamia ukraine.Hasara nyingi kuliko faida 🤔
 
According to ukraine's commander in chief!!..siyo takwimu za aljazeera bali kamanda mkuu wa ukraine,japo ni takwimu za uwongo ila uwe unazingatia kila neno,died or were injured.. halafu ni laki nne na ushee..tikisa hilo bichwa lako
 
Umenena kiutu uzima. Kongole mkuu. Hao Aljazeera labda wamejiridhisha na figure hiyo ndo mana wameitoa. Au hapo unasemaje?
 
Umenena kiutu uzima. Kongole mkuu. Hao Aljazeera labda wamejiridhisha na figure hiyo ndo mana wameitoa. Au hapo unasemaje?
Ndiyo maana wamesema according to..wamejitoa hapo,kazi kwako,hata habari za askari Korea kaskazini kuuawa ukraine anatoa korea kusini,ajabu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…