Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

Labda Roma kupitia kanisa lakini Ottoman empire anatawala wapi? Germany je? Babylon je? Bila kisahau mwenemtapa empire [emoji3]
Kwa hiyo wanatawaliwa?!
 
Sikujua hilo na kwa haraka nasoma hapa kuwa Karelia ilianza kuchukuliwa na Russia tangu miaka ya 1800 wakati Finland ilipata uhuru 1917.

Tunarudi mwanzo. Unabisha kwamba USSR haikupigwa na Finland kwenye Winter war?
Endelea kusoma utaona kuwa Finns waliachia asilimia 9 ya ardhi yao......
Na walijenga base ya Russia kama adhabu, though Russia alipata losses nyingi....
Losses kwenye Vita sio kushindwa Vita, ni vitu viwili tofauti.
 
Kwasasa ametulia tu na wala threat ya Japan sio Russia labda kama China ndiye anaweza gombana naye siku za mbeleni
Ni lini kwa mara ya kwanza ulijua kutakuwa na vita Katie ya urusi na Ukraine?!
 
Hehehe!!! Yaani vita na kataifa kadogo kama Ukraine kamemshinda Urusi eti tusubiri mpaka wanajeshi wake wauae milioni moja ndio tujue kama kashndwa.....
Russia inacheza mchezo wa pooooo kwa nato na ukraine ....kwani wewe usikii mara nato wanalia urussi isitumie siraha gani na gani sasa vita bado ngoja siku urussi ikitangaza vita kamili ndiyo utajua kwanini ulidhani na kujidanganya kuwa mrusi ni dhaifu
 
duh kijana mchele mchele ktk ubora wake
Vijana mchele mchele SA100 anawapatia uwaziri huko nenda kawatafute , mimi ni basha kama una wowowo njoo unitafute
 
[emoji3][emoji3] hii ndiyo nimesikia,kumbe ana hiyo jeuri,kwanini basi asimalizane na Ukraine haraka
Sababu ni operation ya kibinadamu kwani usikii kila siku urusi ikiombwa kutotumia siraha kali ukraine
 
Ni lini kwa mara ya kwanza ulijua kutakuwa na vita Katie ya urusi na Ukraine?!
Kutokana na historia na mwelekeo wa Ukraine tension ilikuwa kubwa. Hivyo, dalili ya vita ilikuwepo
 
Japan kwanza ndo inasemekana wanafikiria kuunda nukes. Ushawahi kusikia ametest silaha zozote za maana? Yeye na South Korea US anawalaghai japo sasa wote wawili wameanza kuwaza upya juu ya umiliki wa silaha kama ilivyo kwa mahasimu wao.
Shida ya Japan after second World War aliingia mkataba mzito sana... Japan hana jeshi kwa sasa linaloweza kufanya uvamizi nje ama kulinda taifa Lao. Wanao askari wa chache kwaajili ya usalama wa raia wao.
Kama putin atashambulia Japan basi marekani atawajibika kuingia front kumlinda mjapan vinginevyo mkataba ule utakuwa ulilenga kumlaghai mjapani.
Mjapani angekuwa na jeshi imara kama la samolai, angekuwa huru kufanya mambo yake kama kim II Sung..... hakuna taifa lingeweza kumpiga mjapani, labda kwa mabomu ya maangamizi kama ya hiroshima na nagasaki.... nguvu za mjapani sio za ulimwengu huu trust me
 
Ndicho nachomwambia huyo jamaa, sema tunakoelekea kuanzia Japan hadi South Korea watanza kujiimarisha kijeshi maana wote uwezo huo wanao. Wana teknolojia wana pesa, hivyo wanaweza
 
Ndicho nachomwambia huyo jamaa, sema tunakoelekea kuanzia Japan hadi South Korea watanza kujiimarisha kijeshi maana wote uwezo huo wanao. Wana teknolojia wana pesa, hivyo wanaweza
Japan akijiimalisha kijeshi akipata mtawala mwenye nguvu hakika nitaondoka kwa amani sana Dunia hiii
 
Marekani hawanipi msaada wowote.hata kwenye kusoma serikali yenu haijanichangia Kwa hiyo Marekani haijanipa msaada wowote Mimi labda nyie mnaosapoti marekani na ushoga wao.Mimi sisapoti upuuzi ndo maana sijawahi kuuona huo msaada wa wamarekani.
 
Na Japan wanamjua Putin vizuri, ukweli alishawaambia vile visiwa hawezi kuwapa.
 
Endelea kusoma utaona kuwa Finns waliachia asilimia 9 ya ardhi yao......
Na walijenga base ya Russia kama adhabu, though Russia alipata losses nyingi....
Losses kwenye Vita sio kushindwa Vita, ni vitu viwili tofauti.
Finland ilishinda Winter war na bila mkataba USSR ikafanya withdraw. Annexation ilifuatia baadae na ni tofauti na war. Timeline ya Winter war na annexation ni tofauti
 
Mbona taarabu kila kukicha lakini hakuna anayejitokeza kuianzisha ww3?
 
Hii sababu muwe mnawaambia watoto wa kindergaten.
Kwani ujasikia kuwa urusi imezuia kuwaua waukraine walio zingirwa ,je unafikili ingekuwa ni marekani kawazingira magaidi angefanya huo wema? Wewe omba tu vita kamili vizuke visivyo heshimu haki za binadamu ndiyo utajua URUSI NI NANI ?
 
Yes na commander wao alishawaambia kuwa Japan haina uwezo ...
Wa kupigana prolonged vita, Wakati USA anapiga Bomu japani alikuwa ashachoka.
Usisahau kuwa USA alidandia vita , watu washachoshana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…