mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Kwa hiyo wanatawaliwa?!Labda Roma kupitia kanisa lakini Ottoman empire anatawala wapi? Germany je? Babylon je? Bila kisahau mwenemtapa empire [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wanatawaliwa?!Labda Roma kupitia kanisa lakini Ottoman empire anatawala wapi? Germany je? Babylon je? Bila kisahau mwenemtapa empire [emoji3]
Kwasasa ametulia tu na wala threat ya Japan sio Russia labda kama China ndiye anaweza gombana naye siku za mbeleniKwa hiyo wanatawaliwa?!
Endelea kusoma utaona kuwa Finns waliachia asilimia 9 ya ardhi yao......Sikujua hilo na kwa haraka nasoma hapa kuwa Karelia ilianza kuchukuliwa na Russia tangu miaka ya 1800 wakati Finland ilipata uhuru 1917.
Tunarudi mwanzo. Unabisha kwamba USSR haikupigwa na Finland kwenye Winter war?
Ni lini kwa mara ya kwanza ulijua kutakuwa na vita Katie ya urusi na Ukraine?!Kwasasa ametulia tu na wala threat ya Japan sio Russia labda kama China ndiye anaweza gombana naye siku za mbeleni
Russia inacheza mchezo wa pooooo kwa nato na ukraine ....kwani wewe usikii mara nato wanalia urussi isitumie siraha gani na gani sasa vita bado ngoja siku urussi ikitangaza vita kamili ndiyo utajua kwanini ulidhani na kujidanganya kuwa mrusi ni dhaifuHehehe!!! Yaani vita na kataifa kadogo kama Ukraine kamemshinda Urusi eti tusubiri mpaka wanajeshi wake wauae milioni moja ndio tujue kama kashndwa.....
Vijana mchele mchele SA100 anawapatia uwaziri huko nenda kawatafute , mimi ni basha kama una wowowo njoo unitafuteduh kijana mchele mchele ktk ubora wake
Sababu ni operation ya kibinadamu kwani usikii kila siku urusi ikiombwa kutotumia siraha kali ukraine[emoji3][emoji3] hii ndiyo nimesikia,kumbe ana hiyo jeuri,kwanini basi asimalizane na Ukraine haraka
Kutokana na historia na mwelekeo wa Ukraine tension ilikuwa kubwa. Hivyo, dalili ya vita ilikuwepoNi lini kwa mara ya kwanza ulijua kutakuwa na vita Katie ya urusi na Ukraine?!
Shida ya Japan after second World War aliingia mkataba mzito sana... Japan hana jeshi kwa sasa linaloweza kufanya uvamizi nje ama kulinda taifa Lao. Wanao askari wa chache kwaajili ya usalama wa raia wao.Japan kwanza ndo inasemekana wanafikiria kuunda nukes. Ushawahi kusikia ametest silaha zozote za maana? Yeye na South Korea US anawalaghai japo sasa wote wawili wameanza kuwaza upya juu ya umiliki wa silaha kama ilivyo kwa mahasimu wao.
Ndicho nachomwambia huyo jamaa, sema tunakoelekea kuanzia Japan hadi South Korea watanza kujiimarisha kijeshi maana wote uwezo huo wanao. Wana teknolojia wana pesa, hivyo wanawezaShida ya Japan after second World War aliingia mkataba mzito sana... Japan hana jeshi kwa sasa linaloweza kufanya uvamizi nje ama kulinda taifa Lao. Wanao askari wa chache kwaajili ya usalama wa raia wao.
Kama putin atashambulia Japan basi marekani atawajibika kuingia front kumlinda mjapan vinginevyo mkataba ule utakuwa ulilenga kumlaghai mjapani.
Mjapani angekuwa na jeshi imara kama la samolai, angekuwa huru kufanya mambo yake kama kim II Sung..... hakuna taifa lingeweza kumpiga mjapani, labda kwa mabomu ya maangamizi kama ya hiroshima na nagasaki.... nguvu za mjapani sio za ulimwengu huu trust me
Japan akijiimalisha kijeshi akipata mtawala mwenye nguvu hakika nitaondoka kwa amani sana Dunia hiiiNdicho nachomwambia huyo jamaa, sema tunakoelekea kuanzia Japan hadi South Korea watanza kujiimarisha kijeshi maana wote uwezo huo wanao. Wana teknolojia wana pesa, hivyo wanaweza
Hii sababu muwe mnawaambia watoto wa kindergaten.Sababu ni operation ya kibinadamu kwani usikii kila siku urusi ikiombwa kutotumia siraha kali ukraine
Marekani hawanipi msaada wowote.hata kwenye kusoma serikali yenu haijanichangia Kwa hiyo Marekani haijanipa msaada wowote Mimi labda nyie mnaosapoti marekani na ushoga wao.Mimi sisapoti upuuzi ndo maana sijawahi kuuona huo msaada wa wamarekani.Wewe kama shoga mmojawapo Wamarekani wanaendelea kukupa misaada mpaka leo. Na hapa unatumia simu yenye teknolojia yao, maana yake unakubali kuwa shoga ili upate mawasiliano.
Marekani ataendelea kutoa misaada kwa wanyonge siku zote ndio 'ushoga' wenyewe kwa watu wenye ufyatu wa akili. Ila kwa wenye akili Marekani ni superpower
Na Japan wanamjua Putin vizuri, ukweli alishawaambia vile visiwa hawezi kuwapa.Kwani hutaki au? Sasa kama nchi zoote za NATO wanapeleka silaha na fedha ukraine dhidi ya nchi moja tu ambayo ni Urusi, sasa kama wazungu wanalijua hili sasa wewe unaebisha ni kama nani ukiwa huko kijijini Diukizula? Hata huyo Us akizungumzia vita dhidi ya Urusi utamsikia akisema " we will retalliate aggressively against Russia with our allies with full strengh" unadhani kwanini hua anajifichia kwenye kichaka cha umoja wa kujihami wa nchi za magharibi? Urusi ni maji marefu hasa kwenye vita hata wakubwa zako wanalitambua hili we nenda kale tunda kimasihara.
Finland ilishinda Winter war na bila mkataba USSR ikafanya withdraw. Annexation ilifuatia baadae na ni tofauti na war. Timeline ya Winter war na annexation ni tofautiEndelea kusoma utaona kuwa Finns waliachia asilimia 9 ya ardhi yao......
Na walijenga base ya Russia kama adhabu, though Russia alipata losses nyingi....
Losses kwenye Vita sio kushindwa Vita, ni vitu viwili tofauti.
Kwani ujasikia kuwa urusi imezuia kuwaua waukraine walio zingirwa ,je unafikili ingekuwa ni marekani kawazingira magaidi angefanya huo wema? Wewe omba tu vita kamili vizuke visivyo heshimu haki za binadamu ndiyo utajua URUSI NI NANI ?Hii sababu muwe mnawaambia watoto wa kindergaten.
Usisahau kuwa USA alidandia vita , watu washachoshana sanaYes na commander wao alishawaambia kuwa Japan haina uwezo ...
Wa kupigana prolonged vita, Wakati USA anapiga Bomu japani alikuwa ashachoka.
operation bila kibali cha kuvuka mipaka ? wanaunga mkono wana umchele mchele kwa mbaliWaliokwambia kuwa itaisha Mapema?
Wao bado wanaita ni operation ndio.
andika nondo zako , punguza tabia za mchele mchele kudandia vya vidumeUshuzi mtupu