Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

Sema wewe ni zuzu unajua urussi anazo nuclear submarine ngapi na hadi sasa zimeteketea ngapi ,je unajua bomu la father of all bomu la urussi limetumika wapi mpaka sasa ,unajua viwanda vya kijeshi vya urussi vinaunda nini kwa sasa? Je unajua ukubwa wa jeshi la urussi na askari wangapi mpaka sasa wamekufa? Kwa kifupi kujidanganya kuwa urussi ni dhaifu wakati ujaua hata askari wake milioni 1 ni ujinga mtupu ,marekani ndiyo inadanganya kuhusu nguvu zake za kijeshi. Marekani kivita na urusi marekani ni dhaifu tu
duh kijana mchele mchele ktk ubora wake
 
Vita haijaisha, usije shangazwa. Hata WW2 ilipoanza Ujerumani iliiteka Ufaransa, Poland na majirani wote walikuwa hawafurukuti. Kilichotokea mwishoni? Ujerumani ikagawanywa twice.

Ujerumani ile hadi Hitler alifikia kupigiwa gwaride akiwa mbele Eiffel tower Mwishoni bendera nyekundu yenye nyundo na kotama ikasimama juu ya Reichstag
waafrika view yetu ni fupi sana
 
Kelele mtapiga wenyewe kipondo kinaendelea gas wananunua kwa rubles mwisho kilaza atajulikana ni nani.
Man of actions
duh ushabadili hoja ss hv , ww ni 3/4 ya ile takwimi yetu ya vichaa
 
Vita iliyodumu miaka 8 ulitaka Urussi aje aimalize siku moja?.
kwan tulimuekea maneno mdomoni , mliita Operation ss hv mmekubali ni vita imedumu miaka nane so asingeweza kuimaliza km alivyotamba siku za awali , ss hayo maneno yalipaswa kutamkwa mwanzon kbs sio leo baada ya kukumbuka kuwa sio rahis
 
Urusi aliwahi tumia Nuke wapi?
Mbona mnalazimisha ionekane kwamba yeye ndio mtumiaji wa Nuke?
Taifa pekee lililowahi tumia Nuke ni US, tena thidi ya taifa dogo Japan ( walikuwa washachoka kivita).
Japan ilikuwa ndogo kieneo ila ilikuwa kubwa kiutawala na uchumI enzi hizo usisahau kuwa Japan ndo alikuwa anapigana na East Asia nzima huku USA pamoja na China zikimchangia ila alikuwa anatembeza kichapo mpk USA alipotumia nukes ndo upepo ukawarudia , so Acha uongo Japan alikuwa ni superpower wa Asia kwa kipind hicho
 
Putin ni mbabe,
Nilisoma mahali kuwa ndege zake inaingia Sweden kimkakati.

Dunia imkemee kabla vita kuenea duniani kote
 
Mkuu huoni aibu kudanganya umma,?
Urusi anajuwa Porojo yet Tank lake ndio User name yako.
Alipigwa na Finland ila alimega eneo, analikalia mpaka leo.
Mtu aliyepigwa huwa anamega maeneo?
Eneo gani la Finland ambalo Russia alimega? USSR alipigwa na Finland akafanya withdraw, kama unabisha leta facts zako mezani sijui utazitoa wapi nami nilete za dunia ambazo hata Russia wenyewe wanajua.

Kuna interesting tactic walitumia Finland, walikuwa wakipata intelligence information kwamba ndege za adui zinakuja kufanya bombing raids mji mkuu wao pendwa wa Helsinki wanatangaza kuzima taa zote mjini kisha mapori yaliyo karibu na mji wanapanga mistari ya taa za barabarani ionekane ni mitaa. Usiku bombing raids kipindi kile hazina navigation nzuri walikuwa wanatafuta kwenye taa nyingi ndio inaonekana mitaa yenye majengo mazuri na muhimu. Warusi wanadondosha mabomu porini kisha wanarudi. Finland mpaka vita inaisha mji mkuu umesimama wima.

Snipers wa Finland hao ndio usiseme walikuwa hatari sana. Kupigana kwenye snow ndio kipaji chao, vifaru vya Urusi vilifeli mbele ya spirit ya watetezi wa taifa lao. Finland wana msemo wanasema nchini kwao kuna wanajeshi wengi wa Urusi ila wamejificha ardhini chini ya mita tano wakimaanisha waliofia vitani
 
yaan umeulizwa swal jepes huna hoja unataka kutuingiza kweny media , ebu jibu swali

Sikuwa siriaz na nilichokiandika ila kuna watu huo ndiyo msimamo wao kuwa kila mgogoro US ana huska.
Imajen wale wahuni wa KURANGA kuna watu humu jf walisema wanafadhiliwa na Marekani.
So, sometimes inabidi ni assume kama wao😂.
 
We world must scramble Russia by any mean,it led by Uncommon sense men with unknown will or future!
 
Eneo gani la Finland ambalo Russia alimega? USSR alipigwa na Finland akafanya withdraw, kama unabisha leta facts zako mezani sijui utazitoa wapi nami nilete za dunia ambazo hata Russia wenyewe wanajua.

Kuna interesting tactic walitumia Finland, walikuwa wakipata intelligence information kwamba ndege za adui zinakuja kufanya bombing raids mji mkuu wao pendwa wa Helsinki wanatangaza kuzima taa zote mjini kisha mapori yaliyo karibu na mji wanapanga mistari ya taa za barabarani ionekane ni mitaa. Usiku bombing raids kipindi kile hazina navigation nzuri walikuwa wanatafuta kwenye taa nyingi ndio inaonekana mitaa yenye majengo mazuri na muhimu. Warusi wanadondosha mabomu porini kisha wanarudi. Finland mpaka vita inaisha mji mkuu umesimama wima.

Snipers wa Finland hao ndio usiseme walikuwa hatari sana. Kupigana kwenye snow ndio kipaji chao, vifaru vya Urusi vilifeli mbele ya spirit ya watetezi wa taifa lao. Finland wana msemo wanasema nchini kwao kuna wanajeshi wengi wa Urusi ila wamejificha ardhini chini ya mita tano wakimaanisha waliofia vitani
Hizi porojo zote huoni aibu kuandika mkuu....
Ulishindwa hata kugoogle? Karelia ulikuwa hujui kuwa it was annexed from finns?
 
Ingekuwa hivyo basi Roma ingeendelea kutawala dunia, Ottoman empire engeendelea kutawala, Germany pia
Kinyonga huwa Anajibadili rangi!
Yaani huoni wanavyo Endelea kututawala???![emoji12]
 
Japan ilikuwa ndogo kieneo ila ilikuwa kubwa kiutawala na uchumI enzi hizo usisahau kuwa Japan ndo alikuwa anapigana na East Asia nzima huku USA pamoja na China zikimchangia ila alikuwa anatembeza kichapo mpk USA alipotumia nukes ndo upepo ukawarudia , so Acha uongo Japan alikuwa ni superpower wa Asia kwa kipind hicho
Yes na commander wao alishawaambia kuwa Japan haina uwezo ...
Wa kupigana prolonged vita, Wakati USA anapiga Bomu japani alikuwa ashachoka.
 
kwan tulimuekea maneno mdomoni , mliita Operation ss hv mmekubali ni vita imedumu miaka nane so asingeweza kuimaliza km alivyotamba siku za awali , ss hayo maneno yalipaswa kutamkwa mwanzon kbs sio leo baada ya kukumbuka kuwa sio rahis
Waliokwambia kuwa itaisha Mapema?
Wao bado wanaita ni operation ndio.
 
Kinyonga huwa Anajibadili rangi!
Yaani huoni wanavyo Endelea kututawala???![emoji12]
Labda Roma kupitia kanisa lakini Ottoman empire anatawala wapi? Germany je? Babylon je? Bila kisahau mwenemtapa empire 😀
 
Urusi aliwahi tumia Nuke wapi?
Mbona mnalazimisha ionekane kwamba yeye ndio mtumiaji wa Nuke?
Taifa pekee lililowahi tumia Nuke ni US, tena thidi ya taifa dogo Japan ( walikuwa washachoka kivita).

Kwa hapo alipofikishwa hana namna zaidi ya kukimbilia manyuklia na huko anasubiriwa ajikanganye aondolewe kwenye uso wa dunia.
 
Back
Top Bottom