Javeline ni ya muda kidogo, majuzi russia walikamata silaha za NATO wakasema NATO inapeleka silaha za zamani kwa Ukraine. Sasa hapo fikiria mkuu Javeline ni ya muda kidogo, silaha za 2010's zitakuaje? Kifupi ni kwamba hawa jamaa ishu ya vifaru hawaiwazi, ukipigana na UK hakikisha huingizi kifaru nchini kwake sababu vyote vitapotea.Usiseme liliwa, sema liliwa na waingereza na madude mapya yanayoitwa Javelin. Hatujui hiii dunia kuna silaha gani mpya