Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

Usiseme liliwa, sema liliwa na waingereza na madude mapya yanayoitwa Javelin. Hatujui hiii dunia kuna silaha gani mpya
Javeline ni ya muda kidogo, majuzi russia walikamata silaha za NATO wakasema NATO inapeleka silaha za zamani kwa Ukraine. Sasa hapo fikiria mkuu Javeline ni ya muda kidogo, silaha za 2010's zitakuaje? Kifupi ni kwamba hawa jamaa ishu ya vifaru hawaiwazi, ukipigana na UK hakikisha huingizi kifaru nchini kwake sababu vyote vitapotea.
 
Hata Ujerumani hana nukes, alisaini mikataba na Marekani na hapendi militarisation kama Japan ila silaha zake hizi kina Panzerfaust na nyingine si zinaisaidia Ukraine.

Russia leo siku ya 67 sijui anapigana na Ukraine na hata nusu ya nchi hana. Akikutana na spirit ya Japanese kwenye kupigana na superior weapons zao ambazo hawajahi ziuza wala kufanya deployment nchi nyingine si watahangaika.

Ujerumani alipigwa hivihivi kwa ujinga wake wa kupigana two fronts. Alipigana na UK hajashinda then akaivamia USSR kisa aliona wanyonge
 
Alafu kilichofuata?mwisho wa ww2 Kwa hisani ya warusi
 
Ukraine haina bahari SASA hivi
 
Japan kwanza ndo inasemekana wanafikiria kuunda nukes. Ushawahi kusikia ametest silaha zozote za maana? Yeye na South Korea US anawalaghai japo sasa wote wawili wameanza kuwaza upya juu ya umiliki wa silaha kama ilivyo kwa mahasimu wao.
Japan na South Korea wote wana silaha zao. South Korea ana kifaru kimetengenezwa na Samsung ni K2 Black Panther tafuta kifaru gani Ulaya kinaizidi, hata Leopard 2 ya Ujerumani ni kama zinaendana. South Korea ana one of the best self propelled howitzer haikosi top 3 duniani ambayo hadi Australia wanataka wanunue.

Japan ana Type 10 MBT hakuna kifaru duniani kinaweza perform vizuri ndani ya Japan kuzidi hii Type 10. Wana jet fighters zao licence production ya F-16 na wana F-35 huku wanashirikiana na Uingereza kutengeneza 6th generation fighter.

Hiyo ni mifano tu ya silaha. Wote hawa wana one of the best AIP Systems diesel electric submarines. Sio China wala Russia anayewakaribia hapa, labda Ujerumani na Sweden. Wote wana amphibious assault ships (helicopter carriers) ambazo ni latest, Russia mwaka 2014 alivyoichukua Crimea, Ufaransa ikavunja mkataba wa kumuuzia Mistral amphibious assault ships mbili.

Nenda hata kwenye meli za mizigo au mafuta, tafuta meli za mafuta zilizojengwa na Russia linganisha zilizojengwa na South Korea kwenye shipyards za Samsung Heavy Industries au Hyundai. Top 20 ya meli kubwa duniani zipo kibao zimetoka South Korea, tankers kubwa, meli za LPG, etc.

Sifa kubwa ya hawa wawili pamoja na Ujerumani, hawapendi show off
 
Na hivyo visiwa wanavyo gombania walivitekaje sasa kutoka japan?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Sina kumbukumbu nzuri ni wakati gani ila tafuta makubalinano ya Yalta conference, sababu za Urusi alipataje Kaliningrad ndio hizo hizo za kueleza alipataje Kuril islands. Japan alikuwa busy kupigana na Marekani, Urusi ikachukua maeneo.

Kama vilevile ilivyochukua eneo la China wakati wako busy kupigana wenyewe kwa wenyewe ila mikataba ilikamilika 2008 wakamaliza mgogoro
 
Kwani hutaki au? Sasa kama nchi zoote za NATO wanapeleka silaha na fedha ukraine dhidi ya nchi moja tu ambayo ni Urusi, sasa kama wazungu wanalijua hili sasa wewe unaebisha ni kama nani ukiwa huko kijijini Diukizula? Hata huyo Us akizungumzia vita dhidi ya Urusi utamsikia akisema " we will retalliate aggressively against Russia with our allies with full strengh" unadhani kwanini hua anajifichia kwenye kichaka cha umoja wa kujihami wa nchi za magharibi? Urusi ni maji marefu hasa kwenye vita hata wakubwa zako wanalitambua hili we nenda kale tunda kimasihara.
Vita inahitaji mbinu kuwa na umoja kama NATO ni mbinu Putin sijui mzungu gani mwehu vile!mbona anataka support kutoka uchina unadhani kwanini?
 
That was then and this is now. Baada ya kumpiga Mmarekani nini kilimpata.
Japan, South Korea wote hawana silaha za maana kwasababu wako chini ya protection ya Marekani.
Kwasasa hata hawezi kabiliana na Mchina maana anamzidi nguvu kijeshi.
Japan wa vita ya pili ya dunia sio huyu mjapan soft soft

Usipojua ulikotoka hata unakokwenda ni giza!
Simba ni simba hata akilowana
 
Haya mahaba yanapotosha, hivi unajua Japan inaizidi Ukraine kijeshi kwa mbali sana, hiyo Ukraine ambayo imemtoza makamasi Urusi, bajeti ya kijeshi ya Japan ni $50.3b huku ya Ukraine ikiwa $5.4b na Urusi $69b, Japan wana hadi aircraft carrier.
Urusi kwa sasa hivi ameyumbishwa, akiguswa kidogo anadondoka, sema alichosalia nacho ni manyuklia tu, ndio yanasababisha asipokee kipodo.
Limsafara lake kwenda Ukraine liliwa lote.
NYUKLIA c zake mbna mnapenda kuziweka pembeni
hata KOWAD wenu US alitumia kwahio kaeni kwakutulia
kwahio akiguswa tu anaanguka ila NATO wanashindwa kumgusa akaanguka wakati jamaa anaua tu watu bure huko UKRAINE
 
Ni bora zaidi mbakie kushabilia mpira kuliko kuleta ushabiki kwenye maisha ya watu, so kama Urus ana nguvu za kijeshi what is the benefit on you. Kwani haiwatoshi kushabikia mipira mpaka mnashabikia vita
MKUU sio lazima wote mushabikie unachokitaka wewe
pengine mwenzako ni C.E.O wa kampuni fulani yakuuza silaha
acha wapigwe wakichoka watasalimu amri tu
 
Haya mahaba yanapotosha, hivi unajua Japan inaizidi Ukraine kijeshi kwa mbali sana, hiyo Ukraine ambayo imemtoza makamasi Urusi, bajeti ya kijeshi ya Japan ni $50.3b huku ya Ukraine ikiwa $5.4b na Urusi $69b, Japan wana hadi aircraft carrier.
Urusi kwa sasa hivi ameyumbishwa, akiguswa kidogo anadondoka, sema alichosalia nacho ni manyuklia tu, ndio yanasababisha asipokee kipodo.
Limsafara lake kwenda Ukraine liliwa lote.
Sema wewe ni zuzu unajua urussi anazo nuclear submarine ngapi na hadi sasa zimeteketea ngapi ,je unajua bomu la father of all bomu la urussi limetumika wapi mpaka sasa ,unajua viwanda vya kijeshi vya urussi vinaunda nini kwa sasa? Je unajua ukubwa wa jeshi la urussi na askari wangapi mpaka sasa wamekufa? Kwa kifupi kujidanganya kuwa urussi ni dhaifu wakati ujaua hata askari wake milioni 1 ni ujinga mtupu ,marekani ndiyo inadanganya kuhusu nguvu zake za kijeshi. Marekani kivita na urusi marekani ni dhaifu tu
 
Acha uongo anaibaje iyo gesi na mafuta??

Japan waibiwe gesi gani waliyonayo? Japan ukiachana na udongo na maji, sidhani kama wana rasilimali ya aina yoyote ile katika dunia hii. Hata top 100 nchi zenye rasilimali naamini hawapo ila top 10 kwenye uchumi wapo

Oooh. Shauri yenu. Shida vijana mnasikiliza BBC NA CNN.
 
Ukraine haina bahari SASA hivi
Vita haijaisha, usije shangazwa. Hata WW2 ilipoanza Ujerumani iliiteka Ufaransa, Poland na majirani wote walikuwa hawafurukuti. Kilichotokea mwishoni? Ujerumani ikagawanywa twice.

Ujerumani ile hadi Hitler alifikia kupigiwa gwaride akiwa mbele Eiffel tower Mwishoni bendera nyekundu yenye nyundo na kotama ikasimama juu ya Reichstag
 
Alafu kilichofuata?mwisho wa ww2 Kwa hisani ya warusi
Urusi hakushinda kwa hisani, asingeshinda yeye ulitaka ashinde nani?

Kwenye WW2 Ujerumani ilizivamia Ufaransa, Poland na Urusi. Denmark ilijisalimisha kwa Ujerumani mapema. Hao tu ndio walitakiwa kupigana. Wengine wote kina Britain, USA na washirika walikuja kuwasaidia wanyonge kina USSR ambao walikuwa hopeless hawawezi kujitetea wenyewe peke yao.

Hitler alijua hilo, hakuivamia Britain yenyewe ndio ilitangaza vita yenyewe. Hakuivamia USA ndio ilijiingiza vitani. Hitler alivamia wanyonge wengine, USSR akiwa mnyonge mmojawapo ambaye alipigwa na kanchi ka Finland.

USSR alipewa misaada kwenye Lend Lease Pact iliyopitishwa na serikali ya Marekani. Similarly na sasa ambavyo Biden anataka kupitisha USD 30 billion. Urusi ndio alishinda kwa hisani ya Marekani, that's a fact
 
Haya mahaba yanapotosha, hivi unajua Japan inaizidi Ukraine kijeshi kwa mbali sana, hiyo Ukraine ambayo imemtoza makamasi Urusi, bajeti ya kijeshi ya Japan ni $50.3b huku ya Ukraine ikiwa $5.4b na Urusi $69b, Japan wana hadi aircraft carrier.
Urusi kwa sasa hivi ameyumbishwa, akiguswa kidogo anadondoka, sema alichosalia nacho ni manyuklia tu, ndio yanasababisha asipokee kipodo.
Limsafara lake kwenda Ukraine liliwa lote.
Wabongo ni noma kwa uchambuzi wa vita. As if ni Afisa wa Jeshi la Russia ulivyochambua hapa, mkuu upo Tanzania kweli?? [emoji3][emoji3]
 
Sema wewe ni zuzu unajua urussi anazo nuclear submarine ngapi na hadi sasa zimeteketea ngapi ,je unajua bomu la father of all bomu la urussi limetumika wapi mpaka sasa ,unajua viwanda vya kijeshi vya urussi vinaunda nini kwa sasa? Je unajua ukubwa wa jeshi la urussi na askari wangapi mpaka sasa wamekufa? Kwa kifupi kujidanganya kuwa urussi ni dhaifu wakati ujaua hata askari wake milioni 1 ni ujinga mtupu ,marekani ndiyo inadanganya kuhusu nguvu zake za kijeshi. Marekani kivita na urusi marekani ni dhaifu tu
Na wakuelewe. Statistics za Nguvu za kijeshi ni Siri kubwa. Nashangaa mtu ana ng'ang'ana na statistics za Propaganda. Hao NATO wanazo estimate ya kuwa Russia ni hatari sana na anawazidi. Hapo wameungana huko ukrain lakini wanapigika tu. Au hamuoni kama NATO ipo vitani ?? Yawezekana kuna hata siraha hatari zaidi ya Nuclear zipo store, zikitumiwa ndo na sisi tunaongeza propaganda za Uchambuzi wa Vita!
 
Back
Top Bottom