Ni orthodox walikuwa wana sherehe yao Christmas majuzi hapaHuyu Putin si hana Dini?
Aisee nimekumbuka wimbo wa Roma Unaitwa Mkombozi
Hapana si kufeli lakini anachokifanya kwa nchi ya Ukraine siyo jambo la kiMungu ni ushetani kabisa alipaswa akae mbali na mlango wa kanisa na siyo kupeleka mambo ya vita ya kishetani kanisaniKwahiyo kwa tafsiri yako mtu anayeenda kanisan anakuwa kafeli maisha?
Asichanganye ushetani wake na kanisa,anachokifanya Ukraine ni ushetaniKilichokushangaza ni nini,watu kuombewa?
JF sijui unaenda wapi aisee
Hoyo ni mkristo kindakindaki ndo maana hapendi ushoga ila anachokifanya Ukraine anadhalilisha ukristoHuyu Putin si hana Dini?
Aisee nimekumbuka wimbo wa Roma Unaitwa Mkombozi
Yupo Ukraine kutetea uhai wa nchi yakeHoyo ni mkristo kindakindaki ndo maana hapendi ushoga ila anachokifanya Ukraine anadhalilisha ukristo
Kama hutumii akili huwezi kumuelewa putin.adui anaweka maabara,silaha Nk karibu na nchi yako lazima ufanye kitu.Asichanganye ushetani wake na kanisa,anachokifanya Ukraine ni ushetani
Hana dini ki vipi wakati unamuona mtu anasali na anafanya mpaka ishara ya msalabaHuyu Putin si hana Dini?
Aisee nimekumbuka wimbo wa Roma Unaitwa Mkombozi
Kunamtu anataka kuia Rasia?Yupo Ukraine kutetea uhai wa nchi yake
OkKama hutumii akili huwezi kumuelewa putin.adui anaweka maabara,silaha Nk karibu na nchi yako lazima ufanye kitu.
Leta ishahidi kama ni propaganda,ingia mitandao ya kirusi kama hutaona hiyo😀
Mungu ni Mungu wa vita ndio maana akaitwa Mungu wa Majeshi.Hapana si kufeli lakini anachokifanya kwa nchi ya Ukraine siyo jambo la kiMungu ni ushetani kabisa alipaswa akae mbali na mlango wa kanisa na siyo kupeleka mambo ya vita ya kishetani kanisani
NdioKunamtu anataka kuia Rasia?
Wewe mbona ni mzinzi ila huishi kutaja jina la Mungu kila siku?Hapana si kufeli lakini anachokifanya kwa nchi ya Ukraine siyo jambo la kiMungu ni ushetani kabisa alipaswa akae mbali na mlango wa kanisa na siyo kupeleka mambo ya vita ya kishetani kanisani