Putin hali Tete, akimbilia kanisani akitaka askari wake walioko vitani Ukraine waombewe

Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
Daaaah......sisi tulidhani Putin siyo Mkristo.... Misalaba tena? Mara Kanisani.. tutahamia China sasa.
Malaria 2 Ritz
 
Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
Hii nchi Ina wajinga wengi sana...kama huyu...
 
Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
Sasa hiyo inakuwaje story?
 
Hapana si kufeli lakini anachokifanya kwa nchi ya Ukraine siyo jambo la kiMungu ni ushetani kabisa alipaswa akae mbali na mlango wa kanisa na siyo kupeleka mambo ya vita ya kishetani kanisani
Hiyo dini yako kwani umeanza kuielewa lini? Kwa Mungu na vita hachangamani? Ulikuwa wapi wakati Israel wanauzunguka ukuta wa yeriko? Israel chini ya sauli c ilikuwa inapigana vita? Hata chini ya daudi pia c ilikuwa inapigana vita? Nimejibu kulingana na dini unayoisema.

Mkilewa msishike cmu, halafu hilo tukio lilikuwa ni kipindi cha Christmas na Putin hakwenda kwa hiyo mission
 
Sawa 😀🙌🙌
 
Back
Top Bottom