- Thread starter
- #41
OkHali tete wakati kila kukicha Jeshi lake linateka maeneo ya Ukraine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkHali tete wakati kila kukicha Jeshi lake linateka maeneo ya Ukraine?
Daaaah......sisi tulidhani Putin siyo Mkristo.... Misalaba tena? Mara Kanisani.. tutahamia China sasa.Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
Maombi yatakuwa yanafanya kazi. Amen. Mungu awasaidie kwa kadri ya imani ya Rais Putin. Kanisani ndo kimbilio kuu.Hali tete wakati kila kukicha Jeshi lake linateka maeneo ya Ukraine?
SiyoChina ni wakristo
Kajifunze utaona hiloSiyo
Eti eeeehKajifunze utaona hilo
Hii nchi Ina wajinga wengi sana...kama huyu...Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
Sasa hiyo inakuwaje story?Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
OkHii nchi Ina wajinga wengi sana...kama huyu...
Hiyo dini yako kwani umeanza kuielewa lini? Kwa Mungu na vita hachangamani? Ulikuwa wapi wakati Israel wanauzunguka ukuta wa yeriko? Israel chini ya sauli c ilikuwa inapigana vita? Hata chini ya daudi pia c ilikuwa inapigana vita? Nimejibu kulingana na dini unayoisema.Hapana si kufeli lakini anachokifanya kwa nchi ya Ukraine siyo jambo la kiMungu ni ushetani kabisa alipaswa akae mbali na mlango wa kanisa na siyo kupeleka mambo ya vita ya kishetani kanisani
Sawa 😀🙌🙌Hiyo dini yako kwani umeanza kuielewa lini? Kwa Mungu na vita hachangamani? Ulikuwa wapi wakati Israel wanauzunguka ukuta wa yeriko? Israel chini ya sauli c ilikuwa inapigana vita? Hata chini ya daudi pia c ilikuwa inapigana vita? Nimejibu kulingana na dini unayoisema.
Mkilewa msishike cmu, halafu hilo tukio lilikuwa ni kipindi cha Christmas na Putin hakwenda kwa hiyo mission