Putin hali Tete, akimbilia kanisani akitaka askari wake walioko vitani Ukraine waombewe

Hoyo ni mkristo kindakindaki ndo maana hapendi ushoga ila anachokifanya Ukraine anadhalilisha ukristo
Mbona Biden ni Mkatoliki kindakindaki lakini anaukubali ushoga??
 
Wewe mbona ni mzinzi ila huishi kutaja jina la Mungu kila siku?
Ni vizuri kama ni mzinzi unapotubu uoneshe toba,siyo unaendele na uzinzi,Putini anaomba aendelee kuua zaidi
 
na vipi kuhusu Papa aliyeruhusu mashoga mbarikiwe?
Ushoga ni kama dhambi zingine Haina tofauti na ujambazi uuaji uasherati ama uzinzi kama hurusiwi kubariki wazinzi basi huezi bariki mashoga mi siyo mkatoriki siwe semea Hilo swala wao wanaweza fafanua zaidi sisi wasabato ushoga ni haramu kama zilivyoharamu dhambi zingine ila shoga hazuiwi kuja kanisani kama vile wazinzi wasivyozuiwa kuja kanisani ili ikiwezekana wayajenge na Mungu wao
 
Hapana si kufeli lakini anachokifanya kwa nchi ya Ukraine siyo jambo la kiMungu ni ushetani kabisa alipaswa akae mbali na mlango wa kanisa na siyo kupeleka mambo ya vita ya kishetani kanisani
Duu
 
Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
Nyie habari mnaziokotaga wapi, Skynews wameripoti UK wamebakisha gesi ya kutumia ndani ya wiki moja,Hungary, Moldova na Austria hali yao ya gesi ni mbaya mno. Halafu Putin kakaa kimya mzigo wa gesi anaupeleka China,mawaziri wa Moldova, Hungary na Austria wanailaumu EU,huku Germany nae hali yake ya gesi ishaanza kuwa mbaya.

Halafu ni vitu vya kawaida,kuna ibada nyingi za Orthodox Putin huwaga ana hudhuria.

View: https://m.youtube.com/watch?v=dCAf_8yGQzQ
 
Yeye ni mkristo Toka utoto wake
 
Vita Viliasisiwa Mbinguni Hukoo Tangu Na Tangu,,Kwa Hiyo Ushingae Kwa Sisi Viumbe Wake Kuwa Katika Vita
 
Hali tete wakati kila kukicha Jeshi lake linateka maeneo ya Ukraine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…