Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kama nchi zingine za Ulaya zinaamini Putin ataishia Ukraine tu, wajue wanajidanganya, ipo siku atavamia nchi nyingine kwa kigezo cha usalama wa nchi yake hasa nchi zingine zinazopakana na Russia au zilizo jirani na Russia.
NATO mpaka sasa wameshamfanya Putin ajione kidume japo kuikamata Ukraine/Kyiv bado hajafanikiwa. Ipo siku watajutia maamuzi yao na watakuja kuyakumbuka maneno ya Rais wa Ukraine waliomtenga leo hii.
Niliwapinga Marekani walipoivamia Iraq na Afghanistan na leo nawapinga Russia kwa kuivamia Ukraine ila sitowapinga tena Russia siku watapovamia nchi nyingine ya Ulaya na hilo litakuwa funzo kwa NATO kuwa walikosea kuiacha Ukraine ikiangamia kwa kigezo sio mwanachama wao.
Nchi kama Poland, Finland na Sweden, naamini ziko hatarini.
Time will tell.