Si mwenyewe anadai eti anaiogopa Nato.Kwa unavyojua wewe, unadhani kwa nini Putin amevamia Ukraine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mwenyewe anadai eti anaiogopa Nato.Kwa unavyojua wewe, unadhani kwa nini Putin amevamia Ukraine?
Mbona poa tu, Marekani ameshavamia nchi kibao kwa kisingizio cha usalama wake.Kama nchi zingine za Ulaya zinaamini Putin ataishia Ukraine tu, wajue wanajidanganya, ipo siku atavamia nchi nyingine kwa kigezo cha usalama wa nchi yake hasa nchi zingine zinazopakana na Russia au zilizo jirani na Russia.
NATO mpaka sasa wameshamfanya Putin ajione kidume japo kuikamata Ukraine/Kyiv bado hajafanikiwa. Ipo siku watajutia maamuzi yao na watakuja kuyakumbuka maneno ya Rais wa Ukraine waliomtenga leo hii.
Niliwapinga Marekani walipoivamia Iraq na Afghanistan na leo nawapinga Russia kwa kuivamia Ukraine ila sitowapinga tena Russia siku watapovamia nchi nyingine ya Ulaya na hilo litakuwa funzo kwa NATO kuwa walikosea kuiacha Ukraine ikiangamia kwa kigezo sio mwanachama wao.
Nchi kama Poland, Finland na Sweden, naamini ziko hatarini.
Time will tell.
Kama ata survive this time around na wao Wameshaliona hilo na wameanza kujipanga.Kama nchi zingine za Ulaya zinaamini Putin ataishia Ukraine tu, wajue wanajidanganya, ipo siku atavamia nchi nyingine kwa kigezo cha usalama wa nchi yake hasa nchi zingine zinazopakana na Russia au zilizo jirani na Russia.
NATO mpaka sasa wameshamfanya Putin ajione kidume japo kuikamata Ukraine/Kyiv bado hajafanikiwa. Ipo siku watajutia maamuzi yao na watakuja kuyakumbuka maneno ya Rais wa Ukraine waliomtenga leo hii.
Niliwapinga Marekani walipoivamia Iraq na Afghanistan na leo nawapinga Russia kwa kuivamia Ukraine ila sitowapinga tena Russia siku watapovamia nchi nyingine ya Ulaya na hilo litakuwa funzo kwa NATO kuwa walikosea kuiacha Ukraine ikiangamia kwa kigezo sio mwanachama wao.
Nchi kama Poland, Finland na Sweden, naamini ziko hatarini.
Time will tell.
Hee.!! iyo Ukraine mkuu Urusi mavi kitambaani hadi leo, ubavu huo ataupata wapi? Magharibi wanamcheka sana huyu jamaa alivyokuwa dhaifu na maneno yake kama ya kwenye kanga kila siku, jana karudishwa nyumba 100 kilometers, meli zake zinaripuliwa kama kibiriti kwisha putiniKama nchi zingine za Ulaya zinaamini Putin ataishia Ukraine tu, wajue wanajidanganya, ipo siku atavamia nchi nyingine kwa kigezo cha usalama wa nchi yake hasa nchi zingine zinazopakana na Russia au zilizo jirani na Russia.