Putin hataishia Ukraine tu, ipo siku atavamia nchi nyingine ya jirani

Mbona poa tu, Marekani ameshavamia nchi kibao kwa kisingizio cha usalama wake.
 
Hiyo fursa haitakuwepo Russia ya kuvamia wengine ndio inaishia hapa kwa dikteta Putin na haitakuwepo tena.

The civilised world 🌎 will not accept any more to see the delusional rulers like Putin at the helm in any country.
 
Kama ata survive this time around na wao Wameshaliona hilo na wameanza kujipanga.

Kwa Poland ni ishu kidogo kwa sababu iko NATO.

Sema hao walio neutral nimeona kwao wameanza msukumo wa kujiunga NATO Ili kujihakikishia usalama.
 
Hee.!! iyo Ukraine mkuu Urusi mavi kitambaani hadi leo, ubavu huo ataupata wapi? Magharibi wanamcheka sana huyu jamaa alivyokuwa dhaifu na maneno yake kama ya kwenye kanga kila siku, jana karudishwa nyumba 100 kilometers, meli zake zinaripuliwa kama kibiriti kwisha putini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…