rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Anaweza kuwa mshauri wa chura kiziwiTunashukuru kwa taarifa. Ila samahani wewe upo kwa Mwamposa, Mwingira , Mashimo au nabii Tito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza kuwa mshauri wa chura kiziwiTunashukuru kwa taarifa. Ila samahani wewe upo kwa Mwamposa, Mwingira , Mashimo au nabii Tito
Kijana nilikukataza kuvuta bangi chooni tena mchana jua kali tena choo kisicho na bati.Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA)
Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja tawala zote ziwe chini yake.
Huu utawala utadhibiti mamlaka zote za dunia kuwa chini ya mtu mmoja.
Ukiaangalia kwa mbali kwa jicho la ndani unaona jinsi China, Russia, Iran zinavyobanwa na huu utawala. Mambo yameanza chinichini na utawala wa URUMI.
Na hili jambo li karibu mno kuliko wengi wanavyofikiri.
Soon tunaingia kwenye utawala wa mtu mmoja, serikali moja. Hakuna mwanadamu atakuwa salama chini ya uso wa dunia
Utakuwa utawala wa kikatili mno tujihadhari, tumtafute Yesu.
Lgbtq+ muna shida kwel kwel aseeWanakuja wafuasi wa mud kubishana....
Kuna uwezekano hujui history na Roman Empire.Kijana nilikukataza kuvuta bangi chooni tena mchana jua kali tena choo kisicho na bati.
Hiyo URUMI ili iinuke lazima Turkiye ifutike,maana chimbuko la Rome empire ilikua Italy na Greek(Byzantine).Sasa kati yao kuna Uturuki,sijui hiyo URUMI itatokea wapi.
Licha ya hivyo Greek na Italy hawana supreme economy kama alivyo nayo China,sasa huo u super power atauanzishaje!?
Naijua kuliko uijuavyo wewe unaeropoka pasi na ithibati.Kuna uwezekano hujui history na Roman Empire.
Huna ulijualo ngojea nikuache.Roman Empire ungeijuwa vizuri usingeandika hiyo comment. Kuna uwezekano unaijuwa juu, juu Sana. Tena juu sana
ukweli mchungu ambao wengi bado wapo gizani kuujua anyway watakaokosa unyakuo pole yao mpinga kristo atawafanya kitu mbaya sana.Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA)
Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja tawala zote ziwe chini yake.
Huu utawala utadhibiti mamlaka zote za dunia kuwa chini ya mtu mmoja.
Ukiaangalia kwa mbali kwa jicho la ndani unaona jinsi China, Russia, Iran zinavyobanwa na huu utawala. Mambo yameanza chinichini na utawala wa URUMI.
Na hili jambo li karibu mno kuliko wengi wanavyofikiri.
Soon tunaingia kwenye utawala wa mtu mmoja, serikali moja. Hakuna mwanadamu atakuwa salama chini ya uso wa dunia
Utakuwa utawala wa kikatili mno tujihadhari, tumtafute Yesu.
Pole Sana mkuu. Laiti ungejuwa lakini yamefichwa machoni pakoHuna ulijualo ngojea nikuache.
Pia acha kubwabwaja nadharia zisizokua na uhalisia.
Roman Empire ya Magharibi ilikua Rome/Italy na Roman empire ya mashariki ilikua Byzantine/Greek.
Ndiyo nimesema elimu yako ndogo kuhusu Roman EmpireKwanza Umema EU ukasema Nato Ukasema USA hebu nifafanulie Tofauti hapo?? ungesema tu NATO ambao ni kundi la majitu maoga balaa yoote yameungana yakimuogopa Urusi tu...Hivi Ukijiuliza hii Nato kama sio uoga ni nn wanaungana 32 na kubwa jinga Biden wote hao dhidi ya Urusi jinga sana..Mana sisi Afrika sio tishio kwao kwasababu ya uzombie wetu wanaiba hapa mali wanatumia kwao viongozi hapa hamna...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.Pole Sana mkuu. Laiti ungejuwa lakini yamefichwa machoni pako