Putin hawezi kushida hii vita, anamalizwa mdogo mdogo

Kijana nilikukataza kuvuta bangi chooni tena mchana jua kali tena choo kisicho na bati.
Hiyo URUMI ili iinuke lazima Turkiye ifutike,maana chimbuko la Rome empire ilikua Italy na Greek(Byzantine).Sasa kati yao kuna Uturuki,sijui hiyo URUMI itatokea wapi.
Licha ya hivyo Greek na Italy hawana supreme economy kama alivyo nayo China,sasa huo u super power atauanzishaje!?
 
Kuna uwezekano hujui history na Roman Empire.
 
Naijua kuliko uijuavyo wewe unaeropoka pasi na ithibati.
Roman Empire ungeijuwa vizuri usingeandika hiyo comment. Kuna uwezekano unaijuwa juu, juu Sana. Tena juu sana
 
Roman Empire ungeijuwa vizuri usingeandika hiyo comment. Kuna uwezekano unaijuwa juu, juu Sana. Tena juu sana
Huna ulijualo ngojea nikuache.
Pia acha kubwabwaja nadharia zisizokua na uhalisia.
Roman Empire ya Magharibi ilikua Rome/Italy na Roman empire ya mashariki ilikua Byzantine/Greek.
 
ukweli mchungu ambao wengi bado wapo gizani kuujua anyway watakaokosa unyakuo pole yao mpinga kristo atawafanya kitu mbaya sana.
 
Kwanza Umema EU ukasema Nato Ukasema USA hebu nifafanulie Tofauti hapo?? ungesema tu NATO ambao ni kundi la majitu maoga balaa yoote yameungana yakimuogopa Urusi
 
Huna ulijualo ngojea nikuache.
Pia acha kubwabwaja nadharia zisizokua na uhalisia.
Roman Empire ya Magharibi ilikua Rome/Italy na Roman empire ya mashariki ilikua Byzantine/Greek.
Pole Sana mkuu. Laiti ungejuwa lakini yamefichwa machoni pako
 
Kwanza Umema EU ukasema Nato Ukasema USA hebu nifafanulie Tofauti hapo?? ungesema tu NATO ambao ni kundi la majitu maoga balaa yoote yameungana yakimuogopa Urusi tu...Hivi Ukijiuliza hii Nato kama sio uoga ni nn wanaungana 32 na kubwa jinga Biden wote hao dhidi ya Urusi jinga sana..Mana sisi Afrika sio tishio kwao kwasababu ya uzombie wetu wanaiba hapa mali wanatumia kwao viongozi hapa hamna...
 
Ndiyo nimesema elimu yako ndogo kuhusu Roman Empire
 
Pole Sana mkuu. Laiti ungejuwa lakini yamefichwa machoni pako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Muda utaongea.
 
""Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…