Putin is 70 years old

Putin is 70 years old

Kweli akili maarifa,hivi kwa nini mnaanza kumlaumu Putin bila kuangalia aliye anzisha tataizo.Kama USA+NATO wasingekuwa wanajitanua kimfuata Russia kwani Russia ni kichaa aanze kugombana.

Acheni kujitoa akili kutokana na cheap propaganda-pelekeni lawama kwa walianzisha matatizo na sio Russia anayejikinga dhidi ya matatizo mnayoyasababisha.
 
Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.

Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.

Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.

Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
Kwani Biden,kapagawa na pepo gani,kupeleka silaha Ukraine ili waendelee kuaana!?.
 
Kweli akili maarifa,hivi kwa nini mnaanza kumlaumu Putin bila kuangalia aliye anzisha tataizo.Kama USA+NATO wasingekuwa wanajitanua kimfuata Russia kwani Russia ni kichaa aanze kugombana.

Acheni kujitoa akili kutokana na cheap propaganda-pelekeni lawama kwa walianzisha matatizo na sio Russia anayejikinga dhidi ya matatizo mnayoyasababisha.
kwani kuna kitu gani kafanyiwa? kujitanua kwa US ndio iwe kikwazo kwake?

na yeye si ajitanue? aache uoga wa kifala!

ingekuwa US na washirika wake wamemvamia sawa ila watu wanajitanua ye anaanza kupiga mkwara

ni jambo la muda tu , mtaona atakavyopigika huyo putin wenu
 
Anatumia zaidi ya miezi 2 kuipiga ukraine,
hivi nchi kama US kweli ataiweza yule mburumundu?
 
Mleta mada wewe ni wa mirembe kabisa. Silaha zozote zile kazi yake ni kujilinda. Nyumbano kwako wewe unaweza kuwa na rungu, jambia, panga, nondo au hata bunduki.
Kibaka akitaka kuvamia nyumba yako huitaji kutumia bunduki kumthibiti. Tumia rungu au nondo kumtwanga.
Ila jambazi akija usitumie silaha butu kama rungu na naondo. Tumia silaha ya moto(bunduki).
The same kwa russia. Hawezi kuona nato na washirika wake wanataka kumvania aanze kutumia makombora ya masafa marefu. Hiyo haiwezekani. Tupa nyuklia moja pale berlin au paris. Hii ni shotcut. Vita inaisha muda huo huo. Maana wanajua kwakiendele kifuatacho ni brussels, london, nk.
Kwa hiyo wewe mleta mada nyuklia ndio turufu ya mwisho na ndio russia anatambia. Angekuwa hana hiyo nyuklia wangeshamtembezea kichapo.
 
Ninampenda Putin mpaka kufa kwangu.
It's very unfortunate that in the European civilization they don't approve of polygamy which means your extra ordinary affection to the Moscow butcher will perennially remain ceremonial and not to forget that his racist society views your race as subhuman synonymous only with the monkeys. šŸ˜›šŸ˜›šŸ˜› Please, think again.
 
kwani kuna kitu gani kafanyiwa? kujitanua kwa US ndio iwe kikwazo kwake?

na yeye si ajitanue? aache uoga wa kifala!

ingekuwa US na washirika wake wamemvamia sawa ila watu wanajitanua ye anaanza kupiga mkwara

ni jambo la muda tu , mtaona atakavyopigika huyo putin wenu
Sasa wewe unadhani wakisha jitanua mwisho wake ni nini kama sio kumvamia.
 
Mleta mada wewe ni wa mirembe kabisa. Silaha zozote zile kazi yake ni kujilinda. Nyumbano kwako wewe unaweza kuwa na rungu, jambia, panga, nondo au hata bunduki.
Kibaka akitaka kuvamia nyumba yako huitaji kutumia bunduki kumthibiti. Tumia rungu au nondo kumtwanga.
Ila jambazi akija usitumie silaha butu kama rungu na naondo. Tumia silaha ya moto(bunduki).
The same kwa russia. Hawezi kuona nato na washirika wake wanataka kumvania aanze kutumia makombora ya masafa marefu. Hiyo haiwezekani. Tupa nyuklia moja pale berlin au paris. Hii ni shotcut. Vita inaisha muda huo huo. Maana wanajua kwakiendele kifuatacho ni brussels, london, nk.
Kwa hiyo wewe mleta mada nyuklia ndio turufu ya mwisho na ndio russia anatambia. Angekuwa hana hiyo nyuklia wangeshamtembezea kichapo.
Yaani hata mtoto hawezi kuongea hivyo, unaongea kama mvuta bangi kabisa tena ile bangi ya wazee kabisa wa zamani ya kwenye kibuyu.

Lakini nakuacha kwa sababu nafahamu fika kwamba wewe ni wale wale wa vijiweni ambao hawajui nyuklia ni kitu gani na ina madhara gani kwa mlengwa na mlengaji vilevile.
 
Jina lenyewe Imeloa... huwezi kuwa na akili. Kutishia ni sehemu ya kuonya. Sasa hizo nyuklia walengeneza za kazi gani wewe uliyeloa?
Ulaya hawataki vita. Sema marekani ndio anawapiga vidole nawao wananusa. Acha wajifanye kushupaza shingo kikiwafika walixhopata ukraine watajua wenyewe.
 
kwani kuna kitu gani kafanyiwa? kujitanua kwa US ndio iwe kikwazo kwake?

na yeye si ajitanue? aache uoga wa kifala!

ingekuwa US na washirika wake wamemvamia sawa ila watu wanajitanua ye anaanza kupiga mkwara

ni jambo la muda tu , mtaona atakavyopigika huyo putin wenu
Kama uoga wakujitanua kwa RUSSIA kaanza US
Rejea cuba missile crisis unaweza ukaelewa kidogo
Acha aendelee kuwanyoosha MKUU
 
Mwamba kama ana Miaka 55 vile,Maisha marefu kwake Vladimir Putin.
 
Yaani unamuongelea putin mwenye miaka 70 kama anakufa kesho alafu unamuacha biden mwenye miaka 79 na ndio kwanza kwa rais juzi?
Acha utani aisee.
 
Back
Top Bottom