Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
š„°mpende shemeji bhana sky achana na huyo mburumundu putin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š„°mpende shemeji bhana sky achana na huyo mburumundu putin
anatuulia watu ambao hata hawana hatia ety kwakuwa tu yeye ni super power...mshenzi sana yule[emoji3059]
Kwani Biden,kapagawa na pepo gani,kupeleka silaha Ukraine ili waendelee kuaana!?.Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.
Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.
Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.
Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
kwani kuna kitu gani kafanyiwa? kujitanua kwa US ndio iwe kikwazo kwake?Kweli akili maarifa,hivi kwa nini mnaanza kumlaumu Putin bila kuangalia aliye anzisha tataizo.Kama USA+NATO wasingekuwa wanajitanua kimfuata Russia kwani Russia ni kichaa aanze kugombana.
Acheni kujitoa akili kutokana na cheap propaganda-pelekeni lawama kwa walianzisha matatizo na sio Russia anayejikinga dhidi ya matatizo mnayoyasababisha.
Ukraine ni kama baby wake, sasa baby anafuata makundi ya mafashist lazima amchape vibao.anatuulia watu ambao hata hawana hatia ety kwakuwa tu yeye ni super power...mshenzi sana yule
It's very unfortunate that in the European civilization they don't approve of polygamy which means your extra ordinary affection to the Moscow butcher will perennially remain ceremonial and not to forget that his racist society views your race as subhuman synonymous only with the monkeys. ššš Please, think again.Ninampenda Putin mpaka kufa kwangu.
Sasa wewe unadhani wakisha jitanua mwisho wake ni nini kama sio kumvamia.kwani kuna kitu gani kafanyiwa? kujitanua kwa US ndio iwe kikwazo kwake?
na yeye si ajitanue? aache uoga wa kifala!
ingekuwa US na washirika wake wamemvamia sawa ila watu wanajitanua ye anaanza kupiga mkwara
ni jambo la muda tu , mtaona atakavyopigika huyo putin wenu
Umenigusa.Ninampenda Putin mpaka kufa kwangu.
Yaani hata mtoto hawezi kuongea hivyo, unaongea kama mvuta bangi kabisa tena ile bangi ya wazee kabisa wa zamani ya kwenye kibuyu.Mleta mada wewe ni wa mirembe kabisa. Silaha zozote zile kazi yake ni kujilinda. Nyumbano kwako wewe unaweza kuwa na rungu, jambia, panga, nondo au hata bunduki.
Kibaka akitaka kuvamia nyumba yako huitaji kutumia bunduki kumthibiti. Tumia rungu au nondo kumtwanga.
Ila jambazi akija usitumie silaha butu kama rungu na naondo. Tumia silaha ya moto(bunduki).
The same kwa russia. Hawezi kuona nato na washirika wake wanataka kumvania aanze kutumia makombora ya masafa marefu. Hiyo haiwezekani. Tupa nyuklia moja pale berlin au paris. Hii ni shotcut. Vita inaisha muda huo huo. Maana wanajua kwakiendele kifuatacho ni brussels, london, nk.
Kwa hiyo wewe mleta mada nyuklia ndio turufu ya mwisho na ndio russia anatambia. Angekuwa hana hiyo nyuklia wangeshamtembezea kichapo.
Wanamvamia, halafu wakishamvamia....!Sasa wewe unadhani wakisha jitanua mwisho wake ni nini kama sio kumvamia.
Kama uoga wakujitanua kwa RUSSIA kaanza USkwani kuna kitu gani kafanyiwa? kujitanua kwa US ndio iwe kikwazo kwake?
na yeye si ajitanue? aache uoga wa kifala!
ingekuwa US na washirika wake wamemvamia sawa ila watu wanajitanua ye anaanza kupiga mkwara
ni jambo la muda tu , mtaona atakavyopigika huyo putin wenu
Hakika ana leta heshima Duniani pia ana tufundusha mengiNinampenda Putin mpaka kufa kwangu.
Sky Eclat ......[emoji8][emoji8][emoji7][emoji7]Ninampenda Putin mpaka kufa kwangu.