Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Wamesha back off mbona wako kyv wsnapiganaKm450 to Moscow Russia
Tuwape hadi jutatu tusikie hayo mapinduz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesha back off mbona wako kyv wsnapiganaKm450 to Moscow Russia
Tuwape hadi jutatu tusikie hayo mapinduz
Kwahio washampindua PUT IN 😀Marekani ni watu wa kuwaogopa. Kama wameweza kupandikiza uasi ndani ya urusi basi hakuna alie salama.
Biden aliwahi kusema kwamba wanafikiria mabadiliko ya uongozi Urusi sasa nimeamini.
Wanajikuta wapo mbele ya muda yaani😂😂😂Ukikuta watu wanaandika vitu humu 😅😅😅😅
Watu wengi wanapelekwa na habari zilizo na malengo ya kikundi flani cha watu wa nchi za magharibi kutengeneza taswira ya ubaya au kuonesha udhaifu wa nchi au kiongozi fulani ambaye ni kikwazo kwao kwenye kuchukua rasilimali za nchi husika.Ukikuta watu wanaandika vitu humu 😅😅😅😅