Putin katika hatari ya kupoteza utawala wake wa mabavu. Masaa 24 yajayo ni muhimu sana

Putin katika hatari ya kupoteza utawala wake wa mabavu. Masaa 24 yajayo ni muhimu sana

Marekani ni watu wa kuwaogopa. Kama wameweza kupandikiza uasi ndani ya urusi basi hakuna alie salama.

Biden aliwahi kusema kwamba wanafikiria mabadiliko ya uongozi Urusi sasa nimeamini.
Kwahio washampindua PUT IN 😀
 
Ukikuta watu wanaandika vitu humu 😅😅😅😅
Watu wengi wanapelekwa na habari zilizo na malengo ya kikundi flani cha watu wa nchi za magharibi kutengeneza taswira ya ubaya au kuonesha udhaifu wa nchi au kiongozi fulani ambaye ni kikwazo kwao kwenye kuchukua rasilimali za nchi husika.
Huo uandishi mleta thread ni wishful thinking na kujenga hofu kwa raia wa Russia, pia kujenga hofu kwa yeyote anaye fikiria kushirikiana na Russia.
 
Back
Top Bottom