Watu wengi wanapelekwa na habari zilizo na malengo ya kikundi flani cha watu wa nchi za magharibi kutengeneza taswira ya ubaya au kuonesha udhaifu wa nchi au kiongozi fulani ambaye ni kikwazo kwao kwenye kuchukua rasilimali za nchi husika.
Huo uandishi mleta thread ni wishful thinking na kujenga hofu kwa raia wa Russia, pia kujenga hofu kwa yeyote anaye fikiria kushirikiana na Russia.