Putin kuifuta Wagner group

Jeshi la Misri halikuwa na shida yoyote wala kuhitaji fursa ya kumng'oa Hosni Mubarak, jeshi lilimpindua baada ya kuona nchi itaingia kwenye machufuko mabaya na hakukuwa na namna yoyote nyingine ya kuwatuliza waandamanaji bila umwagaji damu mkubwa.

Prigozhin wa Wagner ni mwendawazimu kuliko Putin. Raia yeyote anayetaka mabadiliko sahihi Urusi asingeweza kumsapoti mtu kama huyo. Hata huko West wanaamini nuclear za Urusi ziko katika mikono salama zaidi kwa Putin kuliko Prigozhin.
 
That was decision haukuwa udhaifu wa Russian Army Putin alichagua kutokumwaga damu, Wagner wangezuilika kwa mizinga kadhaa kama ingehitajika.

Lakini hilo lingecost maisha ya wengi
Sasa kama Wagner is that badass Kwanini wametii maagizo ya Putin mpaka sasa askari 25k wa Wagner wamejisalimisha kwa kukubali
kujiunga Russian Army

Wagner walikua katika maandamano ya kupiga ministry of Defense kwamba wanadhohofisha operation lakini Njia waliyotumia ni mbaya na yenye kuhatarisha usalama wa taifa and it's bad idea kuanza kurushiana risasi hilo lingeweka hatarini maisha ya wengi na mbaya zaidi west wangetumia nafasi hio kuivuruga Russia.

Sasa Wagner wanaanza kulionja joto la jiwe
 
Kinachotufelisha ni nini kwenye maendeleo?.. Tumecopy mfumo wa utawala tumeacha mifumo ya maendeleo! [emoji848]
 
Russia ilitengeneza ile comedy ili wapate sababu ya kuivunja Wagner ili kunusuru jeshi lao la serikali.
 
Si kila ndoto ni ya kusimulia, zingine ni ujinga mtupu.
Kwamba anapeleka majeshi Belarusi ili kusogeza kipigo hii inaonyesha kipindi hii vita inaanza wewe ulikua busy na maandalizi ya kufanya mitihani ya form huko shuleni.
Hivyo taarifa za kwamba Russia aliingiza Ukraine magari silaha, vifaru, vyenye msafara wa Km 64 vikafyekwa vyote tena wakati Ukraine hata hawajajiandaa inaonyesha hukuwahi kuzisikia hizo habari.
 
Hoja zako ziko sawa kabisa.
Siongezi kitu hapaπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Nyingine hii
6.Wagner wanapangwa na Putin kuwa kikundi cha kigaidi kuwasumbua West katika nchi kama Poland na Ujerumani.
 
Tuone kama Urusi wataweza kuivunja hii offensive ya Ukraine bila uwepo wa Wagner (hasa fighting spirit yao )
Hawana wafungwa wa kujitoa mhanga kama Wagner pale Bakhmut
 
Kamchukueni basiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Leo Prigozin amekua mtamu,mnamuonea huruma eeeh?
Huyu si aliwekewa vikwazo na USA?

Mnatia huruma sana NATO,mmekua watu wa kusubiria vitukio ndio mfurahi,hamna uhakika na furaha zenu zitadumu mda Gani.

Mmeshindwa mbinu zote kuishinda Urusi,kuanzia vikwazo,michango ya silaha na Sasa kuombea Prigozin apindue nchi,kashindwa, Wagner waanze vurugu wameshindwa.
Sana Leo mnamuonea huruma Mkuu wa Wagner mliemuwekea vikwazo na wanted.Nato was overrated sana.
 
Uko sahihi lakini ukiangalia kiundani hata putin si kwamba aliamrisha wanajeshi wake wasipambane na wagner ila kinachoonekana ni kwamba wanajeshi waligomea kureact kwa wagner ili kumkomoa putin na hapo ndipo alipokosa la kufanya hadi kufikia hatua ya kumwomba lukashenko aongee na wagner. Ila vinginevyo putin lazima angetaka kureact kwa wagner. Pia kuna kama signs za kutokubalika na wanajeshi wake na ndio kilichopelekea kuwatumia hawa wagner.
Jeshi la urusi kutopambana na wagner na kupelekea kuepusha umwagaji damu ni coincidence tu ya kutoelewana wao kwa wao ndio iliowasaidia lakini si umahiri wa putin
 
Ingetokea Wagner wakaamua liwalo liwe, hakika wanajeshi walio ukraine wangerudishwa Urusi
Teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚ na Vita huko Ukraine vingemalizika rasmi
 
Urusi na Putin kabla ya Vita walionekana tishio, ila cha ajabu mpaka mpishi wa zamani wa ikulu analitingisha jeshi la Supa-pawa mpaka Rais wake anaingiwa hofu.
 
Hizo propaganda tu, mbona hawaoneshi wakisalimisha slaha, ngoja tuone.
 
Ndo wamekumbuka kuwa belarus to kiev ni 100km [emoji23] [emoji23] [emoji23] washaanza changanyikiwa tyr kuvamia nchi za watu kijinga
 
Jidanganyee mkuu hivyo hivyo NATO na USA wanaliogopa Hilo jesh
 
Jidanganyee mkuu hivyo hivyo NATO na USA wanaliogopa Hilo jesh
Hata bila NATO; USA ikipambana ma urusi ana kwa ana, Urusi yote itafutika mara moja. NATO huwa inaisadia Marekani kupata uwanja wa kuweka zana zao tu lakini haitegemei wapiganaji kutoka Europe. Kwa mfano sasa hivi USA inaweza kuweka zana zake Finland na kurahisisha kupiga Urusi moja kwa moja. Udikteta hauwezi kuishinda demokrasi hata siku moja aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…